Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambao siyo mashoga hawa hapa wanaangalia msambwanda wa shogaHao ambao sio mashoga wamebuni nini?
Bomaye nini? DuhBOMAYE
Check Line na ChekeleeniGabeji mkuu
Anaweza kuwa na sifa nyingine ulizozitaja, lakini hafai kuwa rais, hasa kwa katiba hii mbovu. Ni mtu muovu kwa tabia.Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.
Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.
Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.
1.Ni kiongozi mbunifu
2.Ni kiongozi mwenye msimamo
3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu
4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Wewe utakuwa ni 'Gabeji' kwelikweli.Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230
"...hakuna mkamilifu" ndipo tukazoe hata takataka kama huyu. Nyinyi watu, vichwani mnazo akili za kutosha? Mtu mwenyewe mwigizaji, tapeli na mwovu, mtoa roho za watu; leo mnakuja hapa kutaka kusafisha takataka ili iwe nini?Na tukumbuke hakuna mkamirifu
Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:Paul Makonda ni kiongozi wa aina yake katika zama zetu.
Wanaomchukia basi ni kwa sababu zao zingine wanazozijua wenyewe lakini sisi tutamhukumu kwa utendaji wake, na hakika kazi anaiweza.
Pia ifahamike wapo watu wanamchukia Makonda kwa sababu za urithi tu, kwa vile kiongozi fulani wa upinzani hampendi Makonda basi naye hana budi kufuata.
Mbona huendi mahakamani wewe nyumbu?Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
Ni Kiongozi mzuri kwa Nchi isiyofuata utawala wa sheria. Labda abadilike lakini kwa sasa anafanya mambo tofauti na utaratibu wa kisheria unavyotaka mfano kuna matumizi ya fedha ambayo hayaeleweki anapata wapi, sehemu nyingine ingeonekana ni utakatishaji wa fedha. Kuwa na utajiri usiowiana na kipato chake.Paul Makonda ni kiongozi wa aina yake katika zama zetu.
Wanaomchukia basi ni kwa sababu zao zingine wanazozijua wenyewe lakini sisi tutamhukumu kwa utendaji wake, na hakika kazi anaiweza.
Pia ifahamike wapo watu wanamchukia Makonda kwa sababu za urithi tu, kwa vile kiongozi fulani wa upinzani hampendi Makonda basi naye hana budi kufuata.
Mwambie agombee 2025. Kwanini asubiri 2030? Anajua yatakayojiri?Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.
Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.
Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.
1.Ni kiongozi mbunifu
2.Ni kiongozi mwenye msimamo
3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu
4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Mbona hakamatwi ? Shida nnDaud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
Hata wendawazimu huwa wanaota ndoto, ila ndoto zao zinafanana na uwendawazimu wao..Wewe tulia mwakani utakapomuona Waziri Mkuu wako utapagawa na hautalala kamwe!
Ni kwa sababu, kwa sasa wafanya maamuzi nao ni waovu. Siku serikali itakaposĥikwa na watu wema, huyu shetani lazima asimame mahakamani kujibu uovu wake.Mbona hakamatwi ? Shida nn