Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Kw
KWA taarifa Yako, viongozi wengi Tanzania wanatumia majina ambayo sio yao, wengi walirudia shule na kuchukua jina la mtu ambae alicha shule. Huo ndo ulikuwa mfumo wa zamani
Najua Sanaa hata MWIGULU NCHEMBA nduguze wanaitwa MADELU

SAWA MKUU
 
Kw
KWA taarifa Yako, viongozi wengi Tanzania wanatumia majina ambayo sio yao, wengi walirudia shule na kuchukua jina la mtu ambae alicha shule. Huo ndo ulikuwa mfumo wa zamani
Wacha kumtetea ZEROBRAIN hapa. Mtu hana D2 ndiyo unakomaza shingo kumtetea
 
Back
Top Bottom