Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.
Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.
Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.
Tayari bila weledi wowote ameshatoa oda uhamiaji kuharakisha passport za watu wa Arusha kutoka siku 14 hadi siku 7!
Makonda baada ya miezi 4 atakuwa amevuruga utalii Arusha na kuharibu diplomasia ya Arusha.
Mwisho Makonda ataondolewa Arusha na anaweza akajikuta tena akirudi kulialia na kuomba “manabii”wamwombee.