Paul Makonda: Rais Samia anarogwa sana na watumishi wake

Kwani makonda hadi anakumbukwa na Samia, kamtupia majini mangapi Hadi akawashinda akina Lucas Mwashambwa Pascal Mayalla nk.
 
Kwani mbona anaeleweka. Chawa ni watu hatari. Sio wazalendo ni wabinafsi wanatafuta ukuu kwa kila hila ili kujineemesha binafsi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…