Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema ukweli sasa alianza Nape akapewa rungu la kichwaKwa kauli yake hiyo kwamba aliwasaidia clouds kusort vimeo vyao kwa TCRA ambapo kwa hakika ilikuwa anakiuka sheria na taratibu za nchi. Hii inatosha sana jamaa kupoteza nafasi na uhaminifu wa kupewa ofisi ya umma. Anatakiwa kutenguliwa haraka sana
Labda kanukuliwa vibaya vinginevyo hii inatatanisha!!!Na mwisho, inamaana yeye hua...
IQ yake ndogoKuna kitu kinaitwa Verbal Diarrhea. Huyu na yule kipara wa Mbeya wana hiyo shida.
Naomba niishie hapo mkuu.
Kwa wakati huo, Makonda alikuwa anawajibika kwa wananchi kupitia Mamlaka ya uteuzi wake na Ile tume ya maadali. Nape wakati huo Hakuwa na legal ama administrative basis kumuweka kiti moto Makonda!! Sidhani kama nimekosea kwenye ujengaji huu wa hoja!...kamati iliyoundwa na waziri Nape kwa wakati huo?...
Hii Nchi beans inaendeshwa kihuni Sana. Kwa Hiyo Makonda ameona huu ndio wakati wake WA kujisafisha au anautaka Ubunge wa Arusha mjini?Wakuu,
Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni
Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.
"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"
"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?
"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"
" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Hiyo imeundwa na Nape ilioundwa na Mwakiembe inasemaje? Kama ungekuwa umemsikiliza ungekuwa umeshapata majibuRipoti hii hapa inakusuta bwana Makonda, acha kudanganya watu.
Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya
======= Habari wakuu, Ile kamati iliyoundwa na Nape Nnauye ya masaa 24 inawasilishwa leo, baada ya kuzungumza historia ya tatizo, msemaji anasema wamejaribu juhudi zote za kumpata mkuu wa mkoa wa Dar ikiwemo kumpigia simu na kumpelekea taarifa ofisi. Kamati imesema waliitwa ofisi ya mkuu wa...www.jamiiforums.com
Paulo Makonda alivyo mkosa akili anaona fahari kwamba alikuwa anatumia mamlaka yake kuzuia vyombo vya serikali kama TCRA kutimiza wajibu wake, without shame hicho ni kitu cha kuwa proud of. FCK OFF.Wakuu,
Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni
Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.
"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"
"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?
"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"
" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Kumbuka kile ni chombo cha habari, alikuwa na dhamana ni waziri wa habari, so kwa Nape alikuwa sahihi, ndio maana akasema hiyo ripoti ataipeleka kwa wakuu wake, means waziri Mkuu, Raisi na makamu wa Raisi hao ndio walikuwa wakubwa kwa Nape..Kwa wakati huo, Makonda alikuwa anawajibika kwa wananchi kupitia Mamlaka ya uteuzi wake na Ile tume ya maadali. Nape wakati huo Hakuwa na legal ama administrative basis kumuweka kiti moto Makonda!! Sidhani kama nimekosea kwenye ujengaji huu wa hoja!
Ukimwangalia aliyemteua Makonda, unadhani ana Iq bora kumzidi Makonda ?Bora angeendelea kukaa kimya,amechafuka na anazidi kujichafua,sijui kwanini watu wa namna hii wanaendelea kupewa dhamana ya kuongoza watu wakt ata kujiongoza wenywe wanashindwa.
Kumtaja marehemu katika jambo linalohitaji uhakiki zaidi kunahitaji ushahidi zaidi.Namaanisha kumtaja katika tuhuma mbalimbali zinazo hitaji muhusika atoe majibu au utetezi.
Mfano utekaji na mauwaji.
First things first, the sun does not rise, it appears to rise.Which basic evidence is being missed here that leads the argument to be seen as the " appeal of popularity"?
It depends on the basis of formulation of conclusive statement. For instance , if the discussion of results is wrongly crafted even if the results were prepared by the "guru" the conclusion will always be seen as "non sequitur
The sun will always rise in the morning for every tomorrow no matter what!!! That is "physical law" unless you are referring to "alien's laws"
It is only entropy that might be confusing otherwise, Maji hayawezi kupanda mlima kwa Hali ya kawaida.
===
Napumzisha shauri langu.
Majibu umeisha yatoa, hivyo umehitimisha kuwa tume ya Nape haikuwa na uwezo wa kumuhoji Mheshimiwa MakondaWaziri na Mkuu wa Mkoa wote ni wateule wa Raisi, labda tuulizane nani ambaye yuko juu ya mwenzake kiutendaji?
Sawa mzee wa AI. Maana kwa kebehi nitakuwezaje!? H ahahaha aa! Na umeleta hii kebehi makusudi kuzuia kuhojiwa zaidi kwenye nyanja hii na "sane people".So much for your malnourished physics.
Hapana. Nimekuonesha kwamba hujui unachoandika.Sawa mzee wa AI. Maana kwa kebehi nitakuwezaje!? H ahahaha aa! Na umeleta hii kebehi makusudi kuzuia kuhojiwa zaidi kwenye nyanja hii na "sane people".
====
Na huo uteuzi hauta mruhusu kuongea tena maupumbavu kama haya so anayasema kablaUteuzi unakaribia Kwa mkuu makonda!!