OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Atakuwa na shida ya akili pia huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely correct. Bashite ni pimbi kabisa. Wanaposema ni ZEROBRAIN kweli ni zero. Kanyimwa akilikapewa msambwandaAngekaa kimya milele ni busara tosha
Mshenzi mkubwa, kama hukuvamia mbona mlikataa kamati ya nape punguani ninyi na mwendazakeWakuu,
Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni
Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.
"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"
"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?
"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"
" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Mimi nafikiri Watanzania wanaomuamini huyu Zerobrain BASHITE ndiyo wapumbavu. Waache waendelee kutumika. Mtu aliyeshindwa hata kupata D mbili kwenye NECTA hawezi kuwa na fikra chanya. Ukiangalia tu sura ya Bashite na alivyojaza msambwanda hakuna namna anaweza kuwa na akili kichwani.Wakuu,
Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni
Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.
"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"
"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?
"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"
" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Huyu jamaa huwa hana aibu akisema uongoWakuu,

Marekani nao walivyosema kuwa Makonda ni mtoa roho za watu walikurupuka?Hiyo imeundwa na Nape ilioundwa na Mwakiembe inasemaje? Kama ungekuwa umemsikiliza ungekuwa umeshapata majibu
Kama amedanganya ktk suala la Clouds, ataaminika vipi ktk mengine aliyoyasema?Hapo naona ndio kaharibu zaidi, heri angebaki kimya!
Eti huyu jamaa ndiyo anamuona Tundu Lissu ni mwehu...Wakuu,
Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni
Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.
"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"
"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?
"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"
" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
The Kiranga I know, ha haaaa!! Endelea Mkuu, maadamu ninata elimu nakuwa mpole kupata elimu Sasa ya fizikia. Seriously, I am interested.Hapo nimeanzia tu, sijamaliza bado.