Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

Wakuu,

Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni

Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.

"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?

"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"

" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Mshenzi mkubwa, kama hukuvamia mbona mlikataa kamati ya nape punguani ninyi na mwendazake
 
Hivi hili zero brain linaelewa hata linaongea nini na hata lilichoongea leo linazidi kutengeneza linkage ya matukio mengi yaliyofanyika enzi zile.

Mfano hapo kwa Ruge, kwamba akiwa na issue zake anapelekewa walinzi hii inawezekanaje mtu asiye mtumishi wa serikali na asiyestahili kuwa na walinzi apelekewe walinzi wanaolipwa na kodi za wananchi ,?

Maana yake kama Ruge angekuwa na tofauti na mtu anaweza kutumia walinzi kumtishia mtu pengine kumdhuru.

Hapo tukija issue ya vimeo hiyo ni matumizi mabaya ya ofisi ya umma kisa unajua na kiongozi basi hata kama una makosa ni tiketi ya kujilindia?

Hii yote kufanya interview bado ni kujaribu kuhamisha uhalisia jinsi serikali ilivyopwaya kwenye uokozi ajali ya Kariakoo.
 
Wakuu,

Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni

Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.

"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?

"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"

" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Mimi nafikiri Watanzania wanaomuamini huyu Zerobrain BASHITE ndiyo wapumbavu. Waache waendelee kutumika. Mtu aliyeshindwa hata kupata D mbili kwenye NECTA hawezi kuwa na fikra chanya. Ukiangalia tu sura ya Bashite na alivyojaza msambwanda hakuna namna anaweza kuwa na akili kichwani.
Screenshot_20241117_194026_Photos.jpg
 
Wakuu,

Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni

Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.

"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?

"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"

" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Huyu jamaa huwa hana aibu akisema uongo
 
Eti huyu jamaa ndiyo anamuona Tundu Lissu ni mwehu...

Hivi kweli kwa maneno haya, nani ni mwehu anayestahili kwenda kuwekwa hospitali ya vichaa...?

Hata Askofu Mch. Josephat Gwajima pamoja na vijana wale watangazaji wa Clouds TV ambao ilikuwa waendeshe na warushe clip yake ya video kumchafua mtumishi wa Mungu Mch. Gwajima nao ni waongo waliona kivuli tu cha Makonda siku hiyo na siyo yeye..????

Looh, sasa huyu bwana ni wazi kuwa yumo kwenye confusion mode. He's totally confused na si muda mrefu kitu kibaya kitampata unless awahi kukimbilia kwa mwokozi na mponya roho za watu, Mungu ktk Yesu Kristo kwa toba na machozi...!
 
Ni kwamba anataka kusema Watanzania wote walilala, wajinga enzi akiwa kiongozi? Kuna rangi aliyoiacha kuionyesha?
Kwa mambo aliyoyafanya, na bado kapewa uongozi. Angetulia akakaa kimya. Watu huwa hawaongei, wakati wa kula. Kuna kitu kinamsumbua si bure na soon kitakuwa wazi. Damu, damu, damu hata ipite miaka mingapi, itakufuata.
 
Back
Top Bottom