Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Mkuu unajua siku hizi heshima yako imeshuka sana,kufupi watu wanakupuuza kama ulikuwa hulijui hili. Iko siku utakuja kuandika jambo la maana lakini watu watakupuuza wakijua ni yaleyale maujinga yako
Kwa lini umewahi kusema kuwa watu wananiheshimu humu jukwaani?
 
 
Acha wivu wako wewe. Unatamani ungekuwa ndio wewe lakini kwa bahati mbaya siyo wewe na huna uwezo wa kuwashawishi hata majirani zako tu wakakuunga mkono katika jambo lolote lile.zaidi ya kukuona wewe ni mtu wa hovyo.

Kijana mdogo bado unanuka maziwa na unacheulishwa , nitapoteza muda kujadiliana nawe!
Umeanza na maneno za kindengeereko na kizaramo.
Nakutafutia staili yako.
Mimi nina ajiri sija ajiriwa.
Hatuwezi kuwa wakuu wa mikoa kila mtu.
 
Kuna muda muwe mnatumia akili. Akili za kukusaidia kujua Mei Mosi inavyokuwa organised. Itakusaidia kujua ile sio ya Bashite bali ni maelekezo ya serikali kwa watumishi wake. Huko kuna roll-call lazima mtu aende. Huko watu wamesaini posho kuhudhuria. Nani hataki posho?
Akili mnatumia kufanyia nini?
 
Mwamba Makonda anavuta watu utafikiri sumaku iliyokaribu na chuma. Mwamba Makonda ni kiongozi na nusu .
Mambo mengine unayoandika unafanya wanaume wengine tuone aibu. Hata kama ni uchawa jaribu kutokutweza utu wako
 
Kuna muda muwe mnatumia akili. Akili za kukusaidia kujua Mei Mosi inavyokuwa organised. Itakusaidia kujua ile sio ya Bashite bali ni maelekezo ya serikali kwa watumishi wake. Huko kuna roll-call lazima mtu aende.
Achana na Wowowo Gang, utapoteza muda wako. wenzako wanafungua nyuzi za kujifariji. Waacheni na nyuzi zao. Hao wapo kwenye mission yao ya kusimika gang yao.
 
Tamba mkuu wenye wivu wajitundike wenye vidonda vya tumbo wanywe pilipili kichaa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unamchomekea chawa mwenzio ndiyo atambe na kuonekana punga wewe umekaa pembeni, na hivi hajielewi anajua umempa sifa. Kwanini usitambe naye pamoja
 
Kama si Chuma basi Moto, kwa vyovyote vile lazima utakalia.
 
Hivi kwanini makonda anakubalika sana na wafuasi wake Instagram tofauti na wanachama wa jamii forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…