Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ulitaka DC atembee kwa miguu kwenda ofisini kwake.?

Ulitaka mheshimiwa Rais asindikizwe na gari moja..?

Muda mwingine jitahidi ufiche ujinga wako uepuke aibu ndogo ndogo
Hhujui ulissmemalo wewe kwani plano siyo gari? Ivi unampa mtu gari ya ml500 wakati akiwa kwake anatembelea IIist
Ist
 
Wadau mtaniwia radhi kwa hili,

Nimeshuhudia mara nyingi kwa wanasiasa kuwa leo ana msimamo huu kesho ule.
Na leo limejirudia kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul makonda.

Wakati ule alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliwahi kumchana makavu Pierre liquid(pale Mlimani city kwenye kongamano la mtoto wa kike) akisema:

"HATUWEZI KUWA NA TAIFA AMBALO LINA-PROMOTE WATU HOVYO, WANAKUWA HADI MA-BRAND AMBASSODOR... HALAFU UNATEGEMEA WATOTO WETU WATAFIKIA KWENYE MAFANIKIO??

Mimi nilielewa alikuwa akiwakosoa na kuwashambulia watu waliokuwa wanam-brand na kumprote kwa sababu alikuwa mlevi na comedian.

Your browser is not able to display this video.



Picha linageuka,

Leo ni yeye huyuhuyu anawapromote na kuwabrand wadudu/machalii wa Arusha akisema:
"HAWA WADUDU NI JINA, NI BRAND, MKOA HUU NINA KILA AINA YA VIJANA WENYE VIPAJI MBALIMBALI ........"


Your browser is not able to display this video.


Sasa hawa wadudu wana tofauti gani na Pierre wa wakati ule?

Amesahau? Au ndo siasa ilivyo?
 
Hhujui ulissmemalo wewe kwani plano siyo gari? Ivi unampa mtu gari ya ml500 wakati akiwa kwake anatembelea IIist
Ist
We ndo hujui lolote tena kaa kimya kabisa, masuala ya nyumbani kwa mtu ni ya kibinafsi zaidi, akiwa kwenye majukumu ya utumishi wa umma lazima serikali imgharamie

Ungehoji kile kighorofa kule uchagani ungekua unaakili kidogo
 
Unasemaje?



View: https://twitter.com/MariaSTsehai/status/1785647282009825341?t=b3hQNF8LF_fAlFeEBpd-Qg&s=19
 
Yaani kama ningekuwa mtu wa siasa ningeichukua video ya wadudu wa R chuga wakiingia uwanjani leo Meimosi, then nikaimute sauti halafu nikaipandishia juu yake sauti ya mheshimiwa alipokuwa akimpa makavu Pierre liquid pale mlimani city ili niwe najiburudisha.
 
Hao wadudu wake ni comedians na artists. Real wadudu wanaonekana usiku tu. Hao watoto wadogo tu wanajifurahisha. Wanaoifahamu Arusha watakwambia.
 
Ubunifu wa nini ,
Maku wewe
 
Ninyi ndio huwa mnapakatwa na kusokomezewa vitu vigumu makalioni .
Yaani jitu zima na nywele mpaka kwenye pumbu unakaa kusifia wanaume wenzako hao mataahira wa ccm
Acha uchoko jinga we
 
Unachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba, hao wa dudu Wana adirishwa ili wawe watu wa maana, na mda so mrefu utaakutana nao wakiwa watu wa maana kabisa.

Piere alikuwa ana promotiwa kuwa mrevi.

Vitu tofauti.
 
Makonda siyo mwanasiasa (kama unamaanisha uanasiasa per se) Makonda ni mchumia tumbo anayetumia njia ya kujipendekeza ili kuendesha maisha yake. Kila kitu anachoongea au kufanya anasoma upepo kwanza.
 
Unachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba, hao wa dudu Wana adirishwa ili wawe watu wa maana, na mda so mrefu utaakutana nao wakiwa watu wa maana kabisa.

Piere alikuwa ana promotiwa kuwa mrevi.

Vitu tofauti.
Kuwa ''mtu wa maana'' hakuji bila kufanya ''mambo ya maana''!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…