Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

JF imepoteza kqbisa GT !
Hivi shule bado tu hazijafunguliwa?
 
Hiyo podium hapo imeandikwa zero.

Waliweka makusudi sababu Makonda alipata zero kidato cha nne au nimeona vibaya?
 
Makonda anachofanya ni kutaka kubadilisha mentality za wadudu.. Kuwa watu positive kwenye jamii ndio maana kuna mahali aliwaambia hata jina wabadilishe. Hajasapoti itikadi zao ambazo jamii wanaamini na kufahamu wanazifanya.. Ni contrary kabisa na case ya Pierre Liquid.
 
Reactions: Tui
Hoja zimekushinda umeanza personal attacks.Na ndio kawaida kwa wakosa hoja hukimbilia kumjadili mtu badala ya mada.
 
Bora liquid alikuwa anachangia kodi kupitia TBL, hao wadudu wamevaa tye za pikipiki sijui wanachangia nini
 
Ninyi ndio huwa mnapakatwa na kusokomezewa vitu vigumu makalioni .
Yaani jitu zima na nywele mpaka kwenye pumbu unakaa kusifia wanaume wenzako hao mataahira wa ccm
Acha uchoko jinga we
Kufa tu kama una hasira .kunywa hata sumu ya panya UFE kabisa
 
Unachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba, hao wa dudu Wana adirishwa ili wawe watu wa maana, na mda so mrefu utaakutana nao wakiwa watu wa maana kabisa.

Piere alikuwa ana promotiwa kuwa mrevi.

Vitu tofauti.
Ukisema "wadudu wanadirishwa ili wawe watu wa maana," unamaanisha kwa sasa ni watu wa hovyo. Na ndo ukweli upo hivyo.

Na kwakuwa pierre naye alikuwa mtu wa hovyo, kwanini asingeadirishwa ili awe mtu wa maana.
 
Taarifa imetoka watu kumbe walipigwa mkwara kuhudhuria na kutakuwepo na daftari la mahudhurio asiyetokea asimlaumu mtu maana usafiri umetolewa bure.

Halafu chawa mjinga unatuletea propaganda za zero brain.

Wewe ninaamini pia ulipata 0 kama Makonda kidato cha nne maana tofauti yenu ni ndogo sana.
 
Kamati ya maadili imemnyoosha ajaribu ujinga wake tena aone...
 

Hivi unajua Meimosi Arusha ilikuwa Kitaifa hivyo issue ya makonda haikuwepo pale...
Ingekuwa imefanywa kimkoa kama walivyofanya mikoa mingine ndipo ungeweza kutia neno.
Nafikiri wengi walikwenda pale kutegemea kumuona Mama live akizungumzia hoja za wafanyakazi likiwemo hili ya Kikokotoo ambalo ni moja ya habari ya mjini kwa sasa....
 
ukiwa mgeni katika siasa utajaza makumbukumbu ya political stataments mengi mno kwenye librabry yako, lakini pia lazma upate tabu kidogo kuelewa siasa.....

hata hivyo,
48 laws of power ukiielewa vema wala huwezi babaika na dynamics of politics in both national and Internationale levels....

by the way,
if you can"t fight them join them unakua umemaliza mchezo
 
Kwani ubaya ni kupromote ulevi tu.
Kwani mada ni nini?Makonda alikemea ulevi kupromotiwa kwenye suala la Liquid!
Ulitaka azungumzie jambo lisilokuwa muafaka kwenye hiyo mada?
Shule mlikwenda kufanya nini?
 
Kumbe Hauna akili.
 
Waliojaa ni wafanyakazi ambao pale uwanjani ni sehemu ya kazi zao.

Ulitaka wafanyakazi wasiende uwanjani wafukuzwe kazi na bosi wao..??
 
huyo konda aanzishe chama chake,akiwa ndani ya ccm ni mwepesi sana wazee wanamzoom tu
 
Ukisema "wadudu wanadirishwa ili wawe watu wa maana," unamaanisha kwa sasa ni watu wa hovyo. Na ndo ukweli upo hivyo.

Na kwakuwa pierre naye alikuwa mtu wa hovyo, kwanini asingeadirishwa ili awe mtu wa maana.
Swali zuri sana.

Piere alichagua kuwa hivyo. Ilibidi akemewe ili abadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…