Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Huyu jamaa si wa kumchukulia poa hata kidogo, ana nyota kali sana
 
Wabongo bado tunawaza ujinga Sana. Siku ya wafanyakazi tunaanza kuwaza kumdis mtu na kumpa pongezi mwingine. Sio sahihi.
 
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu eti ndio haya tena ya Makonda?
Mbele ya makamu wa Rais anayemwakilisha Rais mnasema bila aibu kuwa Makonda ni mbunifu kisa WADUDU?
Yaani bila aibu mnaleta vijana wakuwapeleka Rehab mbele ya Rais, mabalozi na wakuu wengine wakiwapo WAFANYAKAZI WATUKUFU?
Mbona toka aseme anawajua wanaolipa wamtukanao Rais sasa kujipendekeza kwake kumekuwa kukubwa kama kuogopa wasitajwe?
WADUDU NDIO UBUNIFU WA MAKONDA?!

View: https://youtu.be/aFZXjQc901U?si=08otvhLulbWRB6VL
 
It is a lamentable matter that the soil of that land, once renowned for producing individuals of stroong mind, boldness, and possessing all manner of world-class attributes, now harbors individuals who leave one wondering how this generation could be connected to the precedingg one. For wwhen one examines the continuity between these jenerations, no connection whatsoever is found.

While those of the past era brought honor to the nation, conversely, it seems this generation is causing it to be scorned and perceived as a land of mediocrity.

I might conclude by saying that, currently, that nation is just a jest.
 
Mwamba Makonda anawatesa sana wapinzani na nyumbu wa CHADEMA. Mafuriko yaliyomiminika leo uwanjani mpaka wengine kukosa nafasi na kuamua kubakia nje ya uwanja kumewaumiza na kuwatetemesha sana sana CHADEMA, mpaka sasa wamebaki wanaweweseka tu kama wagonjwa wa malaria kali. Hapo bado Mwamba hajamaliza hata nusu mwaka.
 
Acheni kuweweseka .kaeni kwa kutulia kabisa maana huo ni mwanzo na mvua za rasha rasha tu.nilishawaambieni kuwa CHADEMA mnakwenda kupotea kabisa ukanda wa kaskazini.
 
ni kuhamasisha tu uhuni na uvuta bangi kwa manufaa ya ccm.
 
Huyo bashite ndiye kawaleta watumishi hapo uwanjani? Wapuuzi mnazidi kuongezeka
 
yaani kukusanya hao wavuta bange kuwavalisha nguo na kuja kuonyesha mambo ya uhuni pale uwanjani, ni mjanja? kwamba huto tutoto tuliwashinda serikali yote ya arusha kabla bashite hajaenda kule? jaribu kufikiria kwa akili kidogo.
 
Wakazi Wa Arusha tumejionewa wenyewe vile Kijana Shupavu Paul Makonda alivyogeuza mtazamo wa wananchi dhidi ya Wadudu kuonekana vijana katili hadi kuonekana vijana wafanyakazi waongezao Tija Kwenye Pato La Taifa.

Tumeona Wadudu Wasiouma ambao ni
Wadudu Wachekeshaji na wanamziki.
Wadudu Afisa Usafirishaji Bodaboda
Wadudu Afisa Usafirishaji Bajaji na
Wadudu Michezo ya Pikipiki.


Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Heko Paul Makonda

Heko Mama Samia

Solidarity Forever!
 
yaani kukusanya hao wavuta bange kuwavalisha nguo na kuja kuonyesha mambo ya uhuni pale uwanjani, ni mjanja? kwamba huto tutoto tuliwashinda serikali yote ya arusha kabla bashite hajaenda kule? jaribu kufikiria kwa akili kidogo.
Naona mmepaniki kwelikweli CHADEMA na kuumia sana baada ya kuona ngome zenu zinaendelea kusambaratishwa na kubomolewa na Mwamba Mwenyewe Makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…