Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda anaaibisha wenye mavyeti yao namna alivyombunifu katika kuongoza
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu eti ndio haya tena ya Makonda?
Mbele ya makamu wa Rais anayemwakilisha Rais mnasema bila aibu kuwa Makonda ni mbunifu kisa WADUDU?
Yaani bila aibu mnaleta vijana wakuwapeleka Rehab mbele ya Rais, mabalozi na wakuu wengine wakiwapo WAFANYAKAZI WATUKUFU?
Mbona toka aseme anawajua wanaolipa wamtukanao Rais sasa kujipendekeza kwake kumekuwa kukubwa kama kuogopa wasitajwe?
WADUDU NDIO UBUNIFU WA MAKONDA?!
View: https://youtu.be/aFZXjQc901U?si=08otvhLulbWRB6VL
Acheni kuweweseka .kaeni kwa kutulia kabisa maana huo ni mwanzo na mvua za rasha rasha tu.nilishawaambieni kuwa CHADEMA mnakwenda kupotea kabisa ukanda wa kaskazini.Taarifa imetoka watu kumbe walipigwa mkwara kuhudhuria na kutakuwepo na daftari la mahudhurio asiyetokea asimlaumu mtu maana usafiri umetolewa bure.
Halafu chawa mjinga unatuletea propaganda za zero brain.
Wewe ninaamini pia ulipata 0 kama Makonda kidato cha nne maana tofauti yenu ni ndogo sana.
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu eti ndio haya tena ya Makonda?
Mbele ya makamu wa Rais anayemwakilisha Rais mnasema bila aibu kuwa Makonda ni mbunifu kisa WADUDU?
Yaani bila aibu mnaleta vijana wakuwapeleka Rehab mbele ya Rais, mabalozi na wakuu wengine wakiwapo WAFANYAKAZI WATUKUFU?
Mbona toka aseme anawajua wanaolipa wamtukanao Rais sasa kujipendekeza kwake kumekuwa kukubwa kama kuogopa wasitajwe?
WADUDU NDIO UBUNIFU WA MAKONDA?!
View: https://youtu.be/aFZXjQc901U?si=08otvhLulbWRB6VL
Acha ujinga wako wewe.Acha kusifusifu waume zawatu...
Jadili issues sio jina lamtu kilasaa
Huyo bashite ndiye kawaleta watumishi hapo uwanjani? Wapuuzi mnazidi kuongezekaMwamba Makonda anawatesa sana wapinzani na nyumbu wa CHADEMA. Mafuriko yaliyomiminika leo uwanjani mpaka wengine kukosa nafasi na kuamua kubakia nje ya uwanja kumewaumiza sana CHADEMA, mpaka sasa wamebaki wanaweweseka tu kama wagonjwa wa malaria kali. Hapo bado Mwamba hajamaliza hata nusu mwaka.
yaani kukusanya hao wavuta bange kuwavalisha nguo na kuja kuonyesha mambo ya uhuni pale uwanjani, ni mjanja? kwamba huto tutoto tuliwashinda serikali yote ya arusha kabla bashite hajaenda kule? jaribu kufikiria kwa akili kidogo.Ndugu zangu Watanzania,
Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi kutokea katika Historia ya sherehe za Mei Mosi. Hii inabaki katika kumbukumbu ya Mei Mosi iliyohudhuriwa na watu wengi sana kuwahi kutokea katika Taifa letu.
Makonda ni Mwamba na bingwa wa mikakati na Jabali la mipango na hamasa. Jamaa anakubalika na kiongozi mwenye nyota kali sana ya kupendwa na watu pamoja na kuheshimika.leo Arusha imeitikia,kanda ya kaskazini imeamka na kwenda kuungana na Mwamba Makonda katika mapokezi mazito ya ugeni wa kitaifa na watu kutoka maeneo mbalimbali ya Taifa letu.
Kwa hakika ukitaka shuguli yako ipendeze katika jambo lolote lile ,basi wewe mkabidhi kazi hiyo Mwamba Makonda halafu muachie akufanyie kazi.kwa hakika leo Mwamba ameonyesha yeye ni mtu na nusu,ni kipenzi cha wana Arusha na watanzania wote kwa ujumla ,ni kipenzi cha vijana na watu wa makundi mbalimbali na ni kiongozi wa kutumainiwa na kutegemewa kwa Taifa letu.
Ipo siku Mwamba atashika nafasi za juu kabisa za uongozi ndani ya serikali yetu.ipo siku watu wataandamana na kumbeba Mwamba Makonda Mabegani mwao kumshukuru ,kumpongeza na kumtia moyo kwa uchapa kazi wake. Ukimchukia Mwamba Makonda unajiumiza tu maana kwa kadri unavyomchukia ndivyo anavyodhidi kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
imagine, akili za wanaccm wanao run nchi ndio kama hizi. wanastahili kuendelea kushika nchi kweli hawa?Huyo bashite ndiye kawaleta watumishi hapo uwanjani? Wapuuzi mnazidi kuongezeka
Naona mmepaniki kwelikweli CHADEMA na kuumia sana baada ya kuona ngome zenu zinaendelea kusambaratishwa na kubomolewa na Mwamba Mwenyewe Makonda.yaani kukusanya hao wavuta bange kuwavalisha nguo na kuja kuonyesha mambo ya uhuni pale uwanjani, ni mjanja? kwamba huto tutoto tuliwashinda serikali yote ya arusha kabla bashite hajaenda kule? jaribu kufikiria kwa akili kidogo.