Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Wadudu mbona wapo kitambo sana chalii yangu!
 
Whoever thinks that one day Makonda will be a President in Tanzania is both a Psychopath and a Certified damn Fool.
Akipitishwa na CCM atakuwa hivyo huku wananchi tumeufyata, mbona tumeufyata kuhusu wabunge wasiokuwa na vyama kinyume cha katiba!
 
Kwani chadema ndiyo wanataka kuongezwa mshahara na kikokotoo!!? Mkuu hivi una akili kweli!
 
Hakuna mwenye akili Timamu anayetaka kusikia ujinga wa Lissu
mkuu wewe ulishawekwa kwenye kundi la wasio na akili timamu, hata ukiongea hapa ukiona watu hawakujali jua wanafahamu kuwa una shida kichwani. kama hauna shida kichwani niambie faida za muungano wewe mtu wa mbozi kwa wachuna ngozi huko, ziorodheshe hapa.
 
Wewe hustahili hata kujibiwa maana akili yako ni fupi .
 
Wewe hustahili hata kujibiwa maana akili yako ni fupi .
hahaha, ndio maana nimesema wewe mgonjwa. siku zote mgonjwa huwa hajijui kama ana shida kichwani. hapo ulipo hauamini kama una shida. tutajie faida za muungano, hata moja tu.
 

 
Maza kakimbia lawama means mwakahuuu patupuuuuuuu😊😊!

Hatari sana hii
Sasa badala ya kutimiza ahadi kamtuma Makonda kuwaletea watu na akili zao Wadudu!
 

Attachments

  • VID-20240502-WA0008.mp4
    1.8 MB
Wadudu mbona wapo kitambo sana chalii yangu!
Hata vichaa wapo long time, wajinga pia wapo. Issue hapa sio uwepo wao bali kuenziwa wa ujinga wao na kumsifa kiongozi kuwa ni mbunifu kwa kuwa leta hadharani.
Hivi baada ya tukio lile kuna mtu anaweza kuwaambia tabia zenu sio sawa?
Kwanza ile ni fedheha kwa jamii ya Arusha kuwa hao ni sehemu ya utamaduni wanao jivunia!
Kesho Dar watajisifia Panyarodi wao!
 
Kuleta binadamu na kuwaita wadudu (insects) mmeona la wiini.
Hakika wale wadudu sijui Ni chawa au kunguni Kuna siku wataharibu.
Those are hooligans. Utakubalije MTU akuite mdudu? Tabia ya wadudu sotetwazijua.
 
Wewe ndio hujitambui kuwa ile gathering ni ya chama cha wafanyakazi, Makonda au mwanasiasa mwingine ni mwalikwa tu. Hao unaosema wamesusia labda hawakualikwa. By the way waalikwe kama nani? Pale siyo kwenye jukwaa la kisiasa
 
mafisiemu mna shida sana mbona mama yenu anayeupiga mwingi hakuwepo naye alisusa ama?
 
Hawa ndio wadudu anaowaenzi Makonda na anaitwa mbunifu.
 

Attachments

  • VID-20240502-WA0011.mp4
    6.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…