Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Makonda ni msomaji wa Alama za nyakati kisiasa.....anajua nini watu wanataka, na kwa wakati gani!

Anajua watanzania(walio wengi) hasa nyakati hizi za sasa....ni (low minded)Wana akili ndogo!...

Wanapenda Umbea! ,udaku!, vitu vya kijingajinga! Na takataka za kufanana na hizo!....Ndivyo vitu watu wanapenda!....

Hii imemrahisishia sana kutembea na beat....hajawahi toka nje ya key....!

Kwa hili nampa heko sana!

Ni mtu Fulani anaeonekana kama wa hovyo! Hivi....

Lakini makini!....alieweka umakini katikati ya kundi lΓ  wajinga! wachache.... Na si kwamba hajitambui! Anajua anachokifanya.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Namuona kenyonyo kapanda juu ya meza πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
..Alishindwa vipi na Panya Road ??? [emoji57][emoji57]
 
Poleni sana sweetheart sisi increments kama zote... πŸ˜…πŸ˜…
Wewe engine ya ofisi lazima wakutriple kabisa uko vizuri sana.
Much congratulations love

Uweeee Nasie nkiimesikia kuserereshwa uhakika 😊

Ngoja tuone akizingua mwakani tunamkaanga kwenye ballots 🀭
 
Eti maisha magumu Kwa wafanya kazi falaja Yao ni KENYONYO? TANZANIA IMEKUA KAMA CHANNEL YA COMEDY
 
Viongozi Wetu Wapo Hoi Sana Upeo Wao Umegota Sasa Wanawachukua Wahuni/Waharifu Wajaze Uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…