Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Umewahi kuwa mtumishi wa umma au u aisha kwa shemeji maisha yako?
Utumishi wa umma ni mtaji kuelekea kwenye taranta yako, hili usilsahau boss, vinginevyo mtakuwa mkilialia kila mwaka kuomba kuongezewa mshahara!

Unakuta mtu ni Dakitari, badala ya kuwa na angalau na kakituo kadogo ka afya na au Pharmacy ili kuikamilisha taranta yake, yeye anakomaa tu kulialia aomgezwe mshahara, mshahara usipopanda eti anaingia barabarani na au kugoma!

Wanaozitumia vema taranta zao hutowakuta wanalialia kama kina Chakaza
 
hii ndio picha halisi ya tz..... na tukumbuke arusha inachafuka kwa mtindo mbovu wa malezi na makuzi ya hao vijana...... imagine mgeni anakuja na kuondoka na stori za wadudu kiufupi tunaonekana bado sana
 
Utumishi wa umma ni mtaji kuelekea kwenye taranta yako, hili usilsahau boss, vinginevyo mtakuwa mkilialia kila mwaka kuomba kuongezewa mshahara!
wachache sana wanaelewa hilo ndio maana unakuta wengi wa waajiriwa hawana plan za maisha zaidi ya kuamka asubuh kukimbia kazini na kusubiri weekend wakalewe j3 warudi ofisini
 


πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Umefanya breakdown nzr sana.

Wanasiasa wengi wanazidiwa na makonda hapo tu, hata kwenye uenezi ni kwamba chuki/vandeeta ilikua inamzidia hadi anaanza kuvuruga ccm ndanindani, isingekua hvo jamaa angesimamisha nchi nzima
 
Huyu jamaa ni bogasi sana, empty head kabisa, yaani hapo anafanya kituko gani sasa. Kwa hili SSH amefeli sana.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…