Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Utumishi wa umma ni mtaji kuelekea kwenye taranta yako, hili usilsahau boss, vinginevyo mtakuwa mkilialia kila mwaka kuomba kuongezewa mshahara!Umewahi kuwa mtumishi wa umma au u aisha kwa shemeji maisha yako?
Unakuta mtu ni Dakitari, badala ya kuwa na angalau na kakituo kadogo ka afya na au Pharmacy ili kuikamilisha taranta yake, yeye anakomaa tu kulialia aomgezwe mshahara, mshahara usipopanda eti anaingia barabarani na au kugoma!
Wanaozitumia vema taranta zao hutowakuta wanalialia kama kina Chakaza