Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

bado huna hoja,
ispokua ubinafsi wa mawazo ya kibadharia tu, ambayo mtu makini wala hawezi poteza muda kuskiza wala ku argue sana
Kifupi makonda anachofanya ni kujionyesha,
"Show off" kujifanya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu mkali,
Ni mtu mwenye roho mbaya
Kuliko hata dingi yake aliyepita,
Halafu ni mshamba pia,
Coz anachofanya anataka kila mtu ajue
 
Makonda ni mtu hovyo! Nchi inao watu wazuri, watendaji na wasomi kibao. Jana nilisikia watu wanajadiliana samia kwanini anamng’ang’ania makonda badala ya kufukuzia mbali… hana anachokijua na hata personality ya ukuu wa mkoa hana.
Ndio maana nahofia huu mzaha mzaha wa watu mara paap kawa raisi kweli,

Moto wa kichaa ni moto,
Tuache mzaha na vitu serious
 
Kifupi makonda anachofanya ni kujionyesha,
"Show off" kujifanya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu mkali,
Ni mtu mwenye roho mbaya
Kuliko hata dingi yake aliyepita,
Halafu ni mshamba pia,
Coz anachofanya anataka kila mtu ajue
bado ni hoja, maoni na mtazamo binafsi wa kinadharia tu, ambao ni dhaifu na hauna athari wala hauwezi kudhoofisha effots, strategies , focus wala approches anazotumia kutatua changamoto binafsi na za jumla za wananchi, hususan wa Arusha

in short ukijitokeza kwa wanArusha kujaribu kumkosoa Makonda kwa hoja za kibinafsi hivyo, wanachoweza kukufanya ni kukuchapa makofi na kukupuuza tu
 
Ungejiuliza tu swali moja mbona mamlaka ya uteuzi imemuona anafaa sana ???πŸ˜³πŸ‘πŸ™„πŸ€ πŸ€ 
 
Ndio maana nahofia huu mzaha mzaha wa watu mara paap kawa raisi kweli,

Moto wa kichaa ni moto,
Tuache mzaha na vitu serious
Ndiko tunakoelekea πŸ‘
Mara paap ! Jamaa yupo Magogoni πŸ‘πŸ˜³πŸ€ πŸ€ 
 
Uzi bora kabisa kuhusu huyu Mtu anaitwa makonda
 
Makonda anatufaa sana kwenye urais 2025.kwa kazi anayoifanya Arusha ni zaidi ya rais wa sasa.wanaomchukia makonda ni punguani wachache tu
 
Atakayepandishwa na Mungu hakuna atakayeweza kumshusha πŸ‘
Na atakayeshushwa na Mungu hakuna atakayempandisha πŸ‘
Hata kama Dunia yote ingeungana πŸ™πŸ™πŸ‘
 
Atakuja kuirudisha TZ kwenye Reli yake 🀠🀠
Mafisadi Kazi wanayo !
Aliyepandishwa na Mungu hakuna wa kumshusha na Aliyeshushwa na Mungu hakuna wa kumpandisha πŸ‘πŸ€ πŸ€ πŸŒ³

Let’s wait and see what is coming next πŸ‘πŸ˜·
 
that is very important thing πŸ’
 
Andiko zuri sana.

Nchi hii inayojiendea kimatukio ina watu wa ajabu sana, ndio maana mtu yeyote tu anaweza kuwa kiongozi, akafanya chochote hata kiwe kibovu namna gani, na maisha yakaendelea tu kama hakuna shida.

Mara hii tu kuna watu wengi wameshasahau tabu tulizopata kwa Magufuli, achilia mbali wale ngumbaru wengi kweli ambao katikati ya hizo tabu bado hawakuweza kuona shida yoyote.

Jamii pumbavu huzalisha viongozi wapumbavu, matokeo yake ni mwendelezo wa kuishi maisha ya kipumbavu na kuyarithisha kwa vizazi na vizazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…