Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Sijui na sidhan kama kwa sasa kuna Kiongozi tena Mkuu wa Mkoa tu ambaye anaweza kuwa na Backup ya Viongozi wa Dini kama alivyokua Mh Paul Makonda.

Hakuna na hakuna hakika!!.

Kwakua ukikubalika na Dini ,umekubalika Mbinguni .

Aliyesema Makonda, ndiye yule Ajaye, hakulopoka, alisema haya kwa sababu aliona anafaa na kustahili.
 
Wacha Wafu Wazikane...
 
Heri ya makonda mara 1000 kuliko kuwa na Rais rahisi wa aina ya bibi
Ndiyo huu udhalilishaji sasa ambao unamrudia Samia. Maana watu wanajiuliza kama umempa Makonda hiyo nafasi ya u RC je wewe mwenyewe ukoje?
 
Wakati wa mapokezi ya ndege mpya alianza kuongea Dar es Salaam.
Kila akimuona Mheshimiwa Rais anaongea hisia zake.
Au kuna jambo ambalo wameshawahi kuliongea,mbona anakosa kifua kama anataka kufunguka!
Hii ni mara ya pili mbele ya mheshimiwa Rais anawasema Viongozi waliopo Serikalini.(eti wanafiki,leo eti wanawatuma watu wamchafue Rais,siku nyingine Rais akienda tena Arusha hatujui ataongea nini?).

Huyu Ndugu kila akipewa nafasi anataka kuibuia mambo mengine na kuwatengenezea ajali ya kiutendaji/kimadaraka viongozi wengine(rejea Kupewa Ukatibu Uenezi,nafasi Ukatibu Mkuu ikatengenezewa zengwe).

Sasa hatujui amemlenga nani?,ili apate nini?
 
Huyu mwamba hata akiwa Mjumbe wa nyumba kumi lazima atambulike tu kuwa yupo,,,, anajua kutumia matukio
 
Na huu ndiyo ukweli wenyewe. Makonda yupo kwa mission maalum yenye faida kwa kundi lile,Samia umebugi step sana huyu hana jema kwako.
 
Nawashukuru na nimekusamehe. Nguvu yangu ni pamoja na kuwa na moyo wa kusamehe watu aina yako.
Bora umemkatalia na kumsamehe. Aseme kwamba wewe unaumwa kwani yeye ni daktari wako? Na hata kama ni daktari wako, ameruhusiwa na nani kutoa siri za ....
 
mie nadhani ni miongoni mwa vijana makini, hodari na mahiri sana jukwaani akipata nafasi hasa mbele za watu wengi mashuhuri na wakawaida.


sijapta fursa ya kukaa nae karibu meza moja tukiwa wachache, kuona namna anavyo buni, anavyojadili, anavyojenga hoja au kushauri mipango au masula mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi 🐒

kilicho bayana ni kwaamba,
Makonda sio mchoyo na wala hajivungi kusema, kukemea au kushauri kuhusu analojua, analowaza au kuliona. hiyo ni karama ya wazi kabisa aliyonayo huyu muugwana 🐒

udhaifu wake mkubwa ni kushindwa kujizuia au kujidhibiti katika kuweka wazi anayoyajua. Hawezi kabisa kua na kiasi au kujibakiza ananajitoa mazima mazima 🐒

Kiufupi Makonda ni aina ya watu wenye maamuzi magumu regardless ya impacts za maamuzi hayo
he is determined, focused, ambitions and very committed 🐒

Be blessed much gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…