Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kila baada ya siku 1 bibie hutukanwa, na wewe umemsifia badala ya kumtukana😁Ajabu dada yako kamteua.
Sasa hapo tatizo la akili ndogo ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila baada ya siku 1 bibie hutukanwa, na wewe umemsifia badala ya kumtukana😁Ajabu dada yako kamteua.
Sasa hapo tatizo la akili ndogo ni nani?
Wacha Wafu Wazikane...Mama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.
Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.
Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and in a very technically executed in order to achieve, a certain political objectives
Ni wajinga wachache wahuni wa mitandaon, ila Kwa Ground, Wananchi wanamkubali sana.Makonda hapendwi sijui ni kwanini msio mpenda huwa sababu ni nini sijui
Ndiyo huu udhalilishaji sasa ambao unamrudia Samia. Maana watu wanajiuliza kama umempa Makonda hiyo nafasi ya u RC je wewe mwenyewe ukoje?Heri ya makonda mara 1000 kuliko kuwa na Rais rahisi wa aina ya bibi
ni wiki hii tu, tukisonga pamoja nyote mnakua kama mmesomea na school bus🐒Sio wote tumesoma shule zenye school bus 😂😂
Dah!...RC huyu ni balaa.
Huko ground wengi ni wajinga walewale aliokuwa anawatumia Magufuli kama mtajiNi wajinga wachache wahuni wa mitandaon, ila Kwa Ground, Wananchi wanamkubali sana.
Hope ur rightni wiki hii tu, tukisonga pamoja nyote mnakua kama mmesomea na school bus🐒
we ng'ang'ana tu, na kudonoa donoa hivyo hivyo apo apo kidogo kidogo 🐒
Huyu mwamba hata akiwa Mjumbe wa nyumba kumi lazima atambulike tu kuwa yupo,,,, anajua kutumia matukioWakati wa mapokezi ya ndege mpya alianza kuongea Dar es Salaam.
Kila akimuona Mheshimiwa Rais anaongea hisia zake.
Au kuna jambo ambalo wameshawahi kuliongea,mbona anakosa kifua kama anataka kufunguka!
Hii ni mara ya pili mbele ya mheshimiwa Rais anawasema Viongozi waliopo Serikalini.(eti wanafiki,leo eti wanawatuma watu wamchafue Rais,siku nyingine Rais akienda tena Arusha hatujui ataongea nini?).
Huyu Ndugu kila akipewa nafasi anataka kuibuia mambo mengine na kuwatengenezea ajali ya kiutendaji/kimadaraka viongozi wengine(rejea Kupewa Ukatibu Uenezi,nafasi Ukatibu Mkuu ikatengenezewa zengwe).
Sasa hatujui amemlenga nani?,ili apate nini?
Na huu ndiyo ukweli wenyewe. Makonda yupo kwa mission maalum yenye faida kwa kundi lile,Samia umebugi step sana huyu hana jema kwako.Mama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.
Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.
Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
Bora umemkatalia na kumsamehe. Aseme kwamba wewe unaumwa kwani yeye ni daktari wako? Na hata kama ni daktari wako, ameruhusiwa na nani kutoa siri za ....Nawashukuru na nimekusamehe. Nguvu yangu ni pamoja na kuwa na moyo wa kusamehe watu aina yako.
Wee thubutu , TEC nzima imekubali Makonda, Mimi ni mkubali Makonda,,, wee useme anakubalika na wajinga?.Huko ground wengi ni wajinga walewale aliokuwa anawatumia Magufuli kama mtaji
mie nadhani ni miongoni mwa vijana makini, hodari na mahiri sana jukwaani akipata nafasi hasa mbele za watu wengi mashuhuri na wakawaida.Kuna watu ukiwapatia Mic lazima uanze kuwaza nini kinaenda kutokea. Makonda ni mmoja wao, makonda hana kipaji cha kuongea kabisa kabisa, hana point, ba hajui basi anaweza pangilia vipi point zake, jamaa akisha pewa MIC yeye ni kuropoka tu.
Makonda akipewa MIC ni kutishia tu ndio point zake, fuatilia maongezi yake utagundua.
Leo pale Monduli baada ya kupewa MIC kaanzs kusema anawajua wanao mtukana Raisi na kuanza kuwaonya na kuwatishia.
Huyu akiendelea kupewa MIC kuna siku ataongea vitu vya ajabu sana na itakuwa too lare kusahihisha, naona hajashutukiwa kwamba sio mtu wa kupewa MIC.
Watu wa Protocak ni bora kwenye mikutani mikubwa inayo husidha viongozi wa juu, wakawa wanazuia kumpatia Makonda MIC.
Kule Kenya yule Makamo wa sasa wa Rais Ruto naye kiasi fulani anafanana na Makonda na angalau naona kaanza kujirekebisha, naye alikwa akipewa MIC hasa kipindi cha Kampeni alikuwa ni kuharibu badala ta. kujenga.