Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Chawa akiugulia maumivu baada ya bosi kutoswa.
 
Tangu Kinana aondoke kwenye ukatibu Mkuu, CCM haijawahi kuwa na Katibu Mkuu wa maana
 
So bure we dada kuna kitu makonda anakufanya, nilikuona wa maana threads zako za nyuma kumbe ni majitaka tu.
Asilimia 90 ya watanzani wanamkubali makonda. Ndio kiongozi pekee anayejitoa kwaajili ya wananchi wake. Ni kiongozi mwenye uthubutu yupo tayari kupambana na watumishi wazembe na viongozi wala rushwa. Hiyo ndio sababu kuu inanifanya niwe upande wa Makonda.
 
Nikiona mtu anamu admire makonda nafsi huwa inaniambia pumbavu lingine hili hapa...
 
Jana nimeona kikao baina ya RC Makonda na wafanyabiashara wa hotel na TRA na tours. RC kauliza vitu vingi na kashangaa iweje mzungu atoke Ulaya aje kulala badala ya kutalii.

Napenda nitoe ushauri, wakati fulani tulisoma kozi na serikali ya China katika hizo kozi kuna kitu kinaitwa Night tourism, hapa maeneo mengi nchini China utalii unafanyika mpaka usiku. Mfano private tours at night in the city, museums.

Kuna maeneo unapata local food usiku mzima, wenzetu wana utalii wa mito sio kama sisi mito yetu yote tumekonect maji taka.

Kwa Arusha ili jiji liwe vibrant ni lazima shuguli za utalii ziwe 24hrs. Wengine wanapenda kwenda museums usiku pametulia, uliza Arusha kuna Museum inayoeleweka?

Mtalii anaweza kutaka local foods at night je zipo sehemu hizo? Usalama je? Naamini watu wa Arusha wanaelewa utamu wa hela ya mzungu kama mazingira mheshimiwa atapambana kuyaweka sawa jamaa watapiga kaz.

Nimemskia yule jamaa kichwa Chambulo anasema kalipa mil 23 kapewa risit ya mil 3. Yule ana ideas nyingi za kuhakikisha mzungu anabakiza nauli tu ya kurudi kwao. Hapo Arusha itapaa kiutalii.

TTB pale nothing creative nothing no museums hakuna tradition wataalam wamekaaa hata huko Dodoma kukimbiza madokezo ya poshoook tu.
 
YESU ANAKUPENDA JE UMESALI KABLA YA KUSHIKA SIMU YAKO ASUBUHI HII MAANA VITA NI KALI View attachment 2963113
Kwahiyo huyo kwenye picha anayevuja damu ndio nani? Hapo anaambiwa nini?


Mtoa mada julaibibi uko sahihi, mtalii hatakiwi kulala akikanyaga ardhi ya Tanzania ni party after party mpaka siku ya kurudi kwao.

Bahati mbaya Arusha ikifika usiku machalii wa hovyo wanatake over mamlaka.
 
Sahivi kuna camera na ulinzi wa kutosha
 
You are beautiful.
 
Makonda ni mpuuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…