Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hivi CHADEMA mnasimamia jambo gani haswa? Wanachama wenu tunazidi tu kuwakimbia. Hovyo kabisa
 
Wakati mwingine Huwa najiuliza asingelikuwepo Makonda sijui ungelikuwa unaandika nini humu JF Ili upate kiki!
 
Achana na makonda
Fanya mambo yako ( mind your busness)
 
Mbona nyie mnamtukana mama yenu na kuwalipa watu wamtukane kwa vificho kwanini hamfanyi hayo yote kwa uwazi tena wengine ni mawaziri!
 
Mwacheni kijana apige kazi sasa
 
Vijana wa sasa wana msemo wao kwamba 'umemkata mabanzi ya usoni.'
 
Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?

Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.

Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?

Hebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…