Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Anajip umuhimu asiokuwa nao.Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?
Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.
Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?
Hebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.
View attachment 2969431
MAKONDA NI MUONGO SANAEti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?
Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.
Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?
Hebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.
View attachment 2969431
Tufanye ulinganifu kidogo kati ya Hawa wenezi.
Naanza Mimi.
1. Makonda taarifa za mikutano na Ratiba zilikuwa zinatolewa mapema. Makala Ratiba zinashitukiza.
2. Makonda - watu walikuwa wanakuja wenyewe kwenye mikutano. Makala watu wanaletwa/wanasombwa, hadi wanafunzi wanaletwa kwenye mikutano.
3. Makala anaambatana na Katibu, ugeni mzito ila bado watu mi wachache, media nazo zimewapuuza. Makonda media an live streaming zilikuwa kama zote.
4. Makonda alikuwa Karibu sana na mwenyekiti , Makala Yuko Karibu sana na Katibu.
5. Makala anautulivu, Makonda alikuwa na over confidence.
Wewe Unaonaje?
Soon atawekwa Jokate 🐼MAKALA KIPIMO HAKITOSHI ATATOLEWA MAPEMA SANA
View attachment 2969672
cde CPA Makala anafaa kuuza mabumunda au wanzuki tuTufanye ulinganifu kidogo kati ya Hawa wenezi.
Naanza Mimi.
1. Makonda taarifa za mikutano na Ratiba zilikuwa zinatolewa mapema. Makala Ratiba zinashitukiza.
2. Makonda - watu walikuwa wanakuja wenyewe kwenye mikutano. Makala watu wanaletwa/wanasombwa, hadi wanafunzi wanaletwa kwenye mikutano.
3. Makala anaambatana na Katibu, ugeni mzito ila bado watu mi wachache, media nazo zimewapuuza. Makonda media an live streaming zilikuwa kama zote.
4. Makonda alikuwa Karibu sana na mwenyekiti , Makala Yuko Karibu sana na Katibu.
5. Makala anautulivu, Makonda alikuwa na over confidence.
Wewe Unaonaje?
Dah yaani umepiga penyewe! Makonda yaani watanzania tunampenda mno mno mno, it’s Dkt Magufuli! Mungu amlinde! Niishie hapoMakonda ana Ile hali ya, Ukimpa cheo chochote, ataonyesha waliopita hawajafanya kazi.
Sasa yeye akitoka, watakaomfatia, watakua wanalinganishwa naye, na hii inahitaj anayekuja anachukua Viatu vyake, afanye kazi kwa.kupita kule mule alikopita Mh Makonda.
Kwa.ufupi, Makonda ni Magufuli Mtupu.
Usimlinganishe mtu mweledi aliyekwenda shule dhidi ya Zerobrain.Tufanye ulinganifu kidogo kati ya Hawa wenezi.
Naanza Mimi.
1. Makonda taarifa za mikutano na Ratiba zilikuwa zinatolewa mapema. Makala Ratiba zinashitukiza.
2. Makonda - watu walikuwa wanakuja wenyewe kwenye mikutano. Makala watu wanaletwa/wanasombwa, hadi wanafunzi wanaletwa kwenye mikutano.
3. Makala anaambatana na Katibu, ugeni mzito ila bado watu mi wachache, media nazo zimewapuuza. Makonda media an live streaming zilikuwa kama zote.
4. Makonda alikuwa Karibu sana na mwenyekiti , Makala Yuko Karibu sana na Katibu.
5. Makala anautulivu, Makonda alikuwa na over confidence.
Wewe Unaonaje?
Kama Makonda ni Magufuli mtupu basi tulikuwa tunaongozwa na vichaaDah yaani umepiga penyewe! Makonda yaani watanzania tunampenda mno mno mno, it’s Dkt Magufuli! Mungu amlinde! Niishie hapo
Mpina hana kipaji cha kujenga hoja, Makonda amebarikiwa uwezo wa kujenga hoja hata kama ni ya ovyo anaitengenezea mazingira inakuwa nzuri. Yaani Makonda anapendwa kwa sababu ya hoja, Luhaga kwa sababu ya fact. Dkt Kikwete alipendwa kwa sababu ya ukalimu wake wa kusaidia watu na huruma yake ya utu na tabasamu. Mzee Lowasa alipendwa kwa sababu ya Dkt Kikwete. Kama Dkt Magufuli asingefariki Dkt Kikwete angeweza kuwa maarufu na watanzania wangemjengea mnara wa heshima ila now du, ni bt na mishe zake za kum kwa bikra 72 old ceo basi ndiyo hivyo watanzania walio wengi wanasubiri siku ya kuripoti kama ilivyokuwa kwa bobeziSo far Makonda 1...... Makala+Katibu 0.
Jaman, Uongozi mnaweza wote kua Viongozi, ila kuna mmoja ana kua na hali ya kukubalika, kuaminika, kusikilizwa yaan anakua na MAMLAKA .
TUKUBALI, TUKUBALI, TUKUBALI TU KUA MAKONDA, NI MWANASIASA NAMBA MOJA MWENYE MVUTO NCHINI TANZANIA .
Mf..Mtazameni LUAGA MPINA..Mpina ni mzuri sana, ana akili na Hoja, kwakweli katika wanasiasa wanaotumia vema Akili na Elimu zao namba Moja ni LUAGA MPINA.
Lkn nawaambieni, MPINA na MAKONDA... kwenye Kaput la uchaguzi, Makonda anaibuka mshindi mapema.
Maana yake nini??. MPINA anafaa kua Kiongozi mwandamizi mtendaji ( WAZIRI MKUU).
Na Makonda anafaa kua RAIS .
mbow inasemekana si haba kabisa na lisu kaolewa, je unasemaje?Kama Makonda ni Magufuli mtupu basi tulikuwa tunaongozwa na vichaa
Kwani Job Description ya kazi ya mwenezi unaijua? Acheni kutaka tuendelee na ujinga wa yule muuaji BashiteHivi nani aliyetoa ushauri Makala awe katibu mwenezi? Aisee yani hata kuongea ni shida
Wewe unaishi kwa kulipwa na Makonda baada ya kuandika post za kumsifia. Endelea tumbow inasemekana si haba kabisa na lisu kaolewa, je unasemaje?