Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
Kapicha akiwa ofisi za Dodoma kangependeza hii nyuzi!Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amefika makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa na Kamati ya Maadili
Source: Mwananchi
Arusha kabisa! Basi atakuwa mchawi - mie nimekutana na gari yake Kondoa akielekea Dodoma kinyonge ile mbaya!Mbona jamaa yuko mjini huku
Pitia Mwananchi utaikuta 😄😄Kapicha akiwa ofisi za Dodoma kangependeza hii nyuzi!
Au anaenda kupewa umakamu rais?Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amefika makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa na Kamati ya Maadili
Source: Mwananchi
Arusha kabisa! Basi atakuwa mchawi - mie nimekutana na gari yake Kondoa akielekea Dodoma kinyonge ile mbaya!
Huyu anajiona mkubwa kuliko CCMMkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amefika makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa na Kamati ya Maadili
Source: Mwananchi
Mbowe kumuomba aje Chadema atamuachia Uenyekiti 😂😂Huyu anajiona mkubwa kuliko CCM
Mnafiki haachi unafiki! Nakumbuka alipowaharibia tamasha lao la Fiesta ule mwaka na kuwasababishia hasara kubwa waliochukua tenda za kuuza vyakula na vinywaji. Hapo Bado suala la kuvamia studio.Nimemuona Leaders kwenye msiba wa Gardner,
Huko Dodoma kapaa au?
Wanamuogopa? Are you serious?Hao wanaomuhoji wote wanamuogopa. Itakuwa kama vile wao ndio wanahojiwa.
Makonda ni zimwi la kufugwa ambalo limekuwa kubwa kuliko wanaomfuga.
HatatokeaMbowe kumuomba aje Chadema atamuachia Uenyekiti 😂😂
DuhHao wanaomuhoji wote wanamuogopa. Itakuwa kama vile wao ndio wanahojiwa.
Makonda ni zimwi la kufugwa ambalo limekuwa kubwa kuliko wanaomfuga.
Mara msibani, Mara Dodoma...Arusha kabisa! Basi atakuwa mchawi - mie nimekutana na gari yake Kondoa akielekea Dodoma kinyonge ile mbaya!
Hivi Wajumbe ni akina nani?Wanaomhoji ni watetezi wa mafisadi.mwenyekiti wa hiyo kamati ni fisadi namba Moja Tanzania
Mtoto wa "mama" anahojiwaje na watu nje ya familia?Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amefika makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa na Kamati ya Maadili
Source: Mwananchi