Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Nimemuona Leaders kwenye msiba wa Gardner,
Huko Dodoma kapaa au?
Mnafiki haachi unafiki! Nakumbuka alipowaharibia tamasha lao la Fiesta ule mwaka na kuwasababishia hasara kubwa waliochukua tenda za kuuza vyakula na vinywaji. Hapo Bado suala la kuvamia studio.
 
Hao wanaomuhoji wote wanamuogopa. Itakuwa kama vile wao ndio wanahojiwa.

Makonda ni zimwi la kufugwa ambalo limekuwa kubwa kuliko wanaomfuga.
Wanamuogopa? Are you serious?
IMG_1762.jpeg
 
Ukitoka arusha alfajiri saa 10...dodoma saa tatu unakuwa umefika.....kama kaojiwa masaa mawili.....akapanda ndege ni dk 45 yupo dar
 
Naomba niwajue Wajumbe wa hii Kamati ya maadili Taifa.

Nataka hivyo hili historia iwekwe vzr siku Calma inafanyakaz miaka ijayo tuwakumbushe
 
Back
Top Bottom