Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Acha uongo kawadanganye walugaluga wenzako huko

Kambona na Mkapa wapi nawapi?
 
Jinga km Makonda chama gani kitampokea, kwa lipi. We huijui CCM. Lile bwege limeshajichimbia kaburi
 
Hao wanaomuhoji wote wanamuogopa. Itakuwa kama vile wao ndio wanahojiwa.

Makonda ni zimwi la kufugwa ambalo limekuwa kubwa kuliko wanaomfuga.
We ni zombie, nchi hii mkuu wa majeshi ameondolewa, IGP ameondolewa, mkuu wa TISS, katibu mkuu kiongozi aliondoΔ·a km jambazi, Makonda ni takataka gani.
 
Acha uongo kawadanganye walugaluga wenzako huko

Kambona na Mkapa wapi nawapi?
Sema uongo uko wapi, halafu onesha ukweli.

Unachobisha nini sasa? Hujui kuwa wakati huo miaka ya 1960 wakati Kambona anagombana na Nyerere Mkapa alikuwa Mhariri wa magazeti ya serikali?

Unachosema uongo ni kipi? Kwamba Mkapa hakuwapo serikalini wakati Kambona anagombana na Nyerere?

Kasome kitabu kinaitwa "Nyerere of Tanzania" cha William Edgett Smith, kuanzia ukurasa wa 267 uone habari nzima ilivyotokea na Mkapa alivyoifuatilia na kumuhakikishia Nyerere.
 
Ninachompendea huyu Mzee achilia mbali tu kupenda jinsi alivyo Mwerevu, mwenye Exposure lakini pia ni Tajiri na Msela.
 
Wenye uwezo na walisome andiko hili
 
πŸ“πŸ†’πŸ‘ŒπŸ‘†πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ‘ŠπŸ™πŸŽπŸ—Ό
 
MAKONDA MCHONGANISHI SANA ANEUMIZA WATU WENGI KIPINDI CHA UTAWALA KATILI WA MAGUFULI HAFAI KUWA KIONGOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…