Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Msikilize hapa Makonda Mkuu wa Mkoa wa arusha alipokuwa akiwaasa watendaji katika mkoa wake.

hakika nakubaliana naye kwa 100% kuwa vikundi vya watu wanafiki, wambeya, wafitini na wabadhirifu katika sehemu za kazi vina nguvu sana kuliko watu wachache waadilifu na watenda haki.

inahitaji kiongozi mwenye hekima na busara lakini makundi hayo maovu katika watumishi huwa yanaangamiza watendaji wazuri na weledi.


Your browser is not able to display this video.
 
Gazeti la Leo la mwanhalisi limeweka picha yake na makonda nae amelipost gazeti la kubenea
 
Acha umbea
 
Chama Kimsamehe kwa kosa gani?
 
Mama ukitaka kuupiga mwingi kwenye uchaguzi wa 2025 hapa Dar es salaam mlete Paul Makonda jijini hapa.

Inakuaje Arusha kila kukicha wanakamata “media” na “social networks” zote wao tu. Kiufupi tunaihitaji “Boss” mpya atakaelichangamsha jiji letu pendwa. Arusha hawamtaki tuletee sisi huku atuchangamshe na wa huku peleka huko Arusha.

Tuletee watu wanaojua mishe za mjini vizuri, Dar ni wala chips isiyokauka sasa kutuletea wala ugali sio “fair”.

Tuletee mtu anaejua kabisa Dar watu wanaamka na kulala muda wowote kulingana na kazi za mtu.
 
Hadi amuombe Lisu msamaha adha waisi, yatamkuta ya kumkuta😡😡😡
 
Alipotajiwa watu aliowaua chini ya utawala wa dhalimu magu na hasa shambulizi lake dhidi ya Lisu, akaambiwa uchunguzi uanze dhidi yake imebidi atulie kwanza, amejua watu hawakawii kuchomoa battery.
 
Kichaa unachougua ni kibaya kuliko hata ugonjwa wa kichaa cha mbwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…