Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ebu rudia kusoma tena naona umekurupuka kujibu.Hii ya kuondolewa umeipata wapi?
Au unatuandaa kisaikolojia?
Ameedit na kuondoa maneno yaliyosemaEbu rudia kusoma tena naona umekurupuka kujibu.
Sina shida na Makonda ila lazima atubu na sio kwa viongozi wa dini ,wapi anatakiwa kutubu nitamwambia siku Moja Mungu akinipa kibaliKatika watu wanaotumia muda vizuri kwenye uongozi ni Mh. Makonda.
Anahakikisha akiwa kwenye uwanja wa mchezo wa uongozi wake anajizolea point tatu mapema kabisa.
Wanaotoa point za mchezo katika uongozi ni wananchi.
Huko Arusha tayari kesha chukua point tatu zake.
Hiyo inamaana gani?
Maana yake:
Makonda atakuwepo kwenye uongozi siku zote za maisha yake.
Aaah kweli π―Kwa kweli tunaomba Mh Rais utuletee Makonda Mbeya kabla ya uchaguzi 2025.
Sababu zipo nyingi kuanzia za kisiasa na za kiutendaji.
Hapa kisiasa labda ataweza kumsadia Tulia akarudi bungeni vinginevyo hali inaweza kuwa ngumu.
Huyu ndugu atatusaidia sana Mbeya kupata uchangamfu wa mji, na kulikumba hili jiji liliosahaulika kila nyanja.
Ama wanambeya mnasemaje?
Picha nini?Picha tafadhari
Picha ya mkoa wa mbeya?Picha nini?
Kama Makonda ni kiongozi bora kwako basi wewe ni mtu wa hovyo kabisa!Katika watu wanaotumia muda vizuri kwenye uongozi ni Mh. Makonda.