Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Naunga mkono hoja.
 
Ki
Mkuu kichwa kibovu kile na hakina busara na mbaya zaidi hajui mipaka ya kazi yake.

Hafai kuwa hata balozi wa nyumba 10 maana uwezo wake mdogo sana
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi kutokea katika Historia ya sherehe za Mei Mosi. Hii inabaki katika kumbukumbu ya Mei Mosi iliyohudhuriwa na watu wengi sana kuwahi kutokea katika Taifa letu.

Makonda ni Mwamba na bingwa wa mikakati na Jabali la mipango na hamasa. Jamaa anakubalika na kiongozi mwenye nyota kali sana ya kupendwa na watu pamoja na kuheshimika.leo Arusha imeitikia,kanda ya kaskazini imeamka na kwenda kuungana na Mwamba Makonda katika mapokezi mazito ya ugeni wa kitaifa na watu kutoka maeneo mbalimbali ya Taifa letu.

Kwa hakika ukitaka shuguli yako ipendeze katika jambo lolote lile ,basi wewe mkabidhi kazi hiyo Mwamba Makonda halafu muachie akufanyie kazi.kwa hakika leo Mwamba ameonyesha yeye ni mtu na nusu,ni kipenzi cha wana Arusha na watanzania wote kwa ujumla ,ni kipenzi cha vijana na watu wa makundi mbalimbali na ni kiongozi wa kutumainiwa na kutegemewa kwa Taifa letu.

Ipo siku Mwamba atashika nafasi za juu kabisa za uongozi ndani ya serikali yetu.ipo siku watu wataandamana na kumbeba Mwamba Makonda Mabegani mwao kumshukuru ,kumpongeza na kumtia moyo kwa uchapa kazi wake. Ukimchukia Mwamba Makonda unajiumiza tu maana kwa kadri unavyomchukia ndivyo anavyodhidi kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Aibu ya nini ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo.
Mwenye msongo Ni wewe uliye Songwe na kutafuta teuzi wakati huna elimu na weledi.
Mimi najilia vyangu hapa Kimara nasikiliza mziki huku nikisubiri kitimoto iive.
Umeweka namba ya simuuliishia Ile vocha ya elfu tano niliyokutumia Hadi umeacha kuweka namba.
 
Moja kati ya wakuu wa mikoa wa o-fy-o kuwahi kutokea.
Anayofanya si majukumu yake, zipo mamlaka.
Pale ni sinema tu kama zilivyo za kina amita na mitun !
 
Hii ni Sherehe ya nini na Watu ukiwemo wewe umejikita kuzungumzia nini ?

Majibu ya hapo ndio utajua kama Sherehe hii imefana au imeflop - at taxpayers expense...
 
Mkuu mweleze huyu chawa, kichwa chake kimejaa mavi na kusifia ujinga Umbwaaa hii
 
Acha uzushi wako wewe na uongo .
 
Bila shaka umeshapata mimba ya Makonda maana siyo Kwa mahaba
 
Photos please
 
Tumbo mponza tak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…