Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

GTs,
Sijamuona Katibu Mkuu CDE Dkt Nchimbi na CDE Makalla kwenye Mei Mosi hapa Arusha. Ila nadhani kimoyo moyo walijisema lazima watu wasusie kwenda Arusha kisa Makonda. Ila kwa hiyo nyomi nadhani wajiulize maswali mengi sana kwanini? Mungu ambariki sana Makonda.
 
Kwa lugha nyepesi nchini makala hawasikiki na wamepoteana siyo.
 
Kwa hiyo ugomvi mnao humohumo?Hamuwavizii kuwaua CHADEMA tena?
 
Kwa lugha nyepesi nchini makala hawasikiki na wamepoteana siyo.
Sana mkuu. Yaani chuki yao kwa Dkt Magufuli haiwasaidii kabisa tena inawapoteza. Halafu leo Dkt Samia angekuweo aisee angechota pointi nyingi sana. Unaambiwa Chongolo kuna kipindi alikuja arusha, yaani watu walilazimishwa kuhudhuria na walifungiwa gate wasitoke ilikuwa aibu sana ila kwa Makonda kila mtu anataka kusikiliza na hakuna anayelalamika. Watakuja kugundua kuwa ukimpinga Makonda unajipinga.
 
sure,
huyo kijana ni gineaus politically speaking πŸ’

ni organizer mahiri sana, halafu zaid sana ni mobilizer mbunifu wa kiwango cha juu mno wa karne hii, hapajawahi kutokea katika historia ya Tanzania πŸ’

well done comrade Paul Makonda πŸ’ͺπŸ‘Š
 
Huyu Mwamba anajuwa namna ya kupanga shughuli ikafaana na kupendeza.ni kiongozi mbunifu na mwenye nyota kali sana ya kiuongozi.
 
Kusema kweli Makonda nyota yake ni kali sana. Piga ua garagaza huyu jamaa anakubalika. Nchimbi akiitisha kikao na wanannchi na Mako aitishe.....watu watajaa kwa Mako.......

Hii njemba tumeshindwa kuizuia

Sometimes he talk nonsense! but all kind men pay attention. Muogopeni mtu wa hivyo
 
Samia ameona nongwa kujumuika na Makonda safari hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…