Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ndugu zangu Watanzania,

Kama kawaida ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ni mtu wa kuteka hadhira, ni mtu wa kuteka mijadala, ni mtu wa kuondoka na point tatu na magoli ya kutosha,ni mtu anayeijuwa siasa,ni mtu msema kweli, jasiri,imara, hodari, madhubuti, shupavu na mwenye misimamo yake.popote alipo ni lazima pafahamike na kuvuma kama upepo wa baharini, ni Mwamba kwelikweli, ni field Marshall ambaye alianza kuzungumza unaona hata sisiminzi wanatulia kusubiri amalize kuzungumza.kiukweli huyu Mwamba ni jasiri sijapata kuona.

Leo katika kutoa kwake neno amemmwagia sifa kemkem askofu mkuu mstaafu wa jimbo la Dar es salaam Kardinali Pengo kwa kusema kuwa amesimama naye wakati akiwa na cheo na wakati akiwa hana cheo.

Akaendelea kusema kuwa anafurahi tena kumuona akikanyaga katika ardhi aliyopewa na Mheshimiwa Rais kuiongoza , na kwamba ni mwisho kuzaliwa kwa mapooza na kwamba ardhi haitazaa tena mapooza.

Mnafikiri alimaanisha nini Mwamba kwa kauli hii ndugu zangu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Umwamba huo anauonyesha kifuani mwako tu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama kawaida ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ni mtu wa kuteka hadhira, ni mtu wa kuteka mijadala, ni mtu wa kuondoka na point tatu na magoli ya kutosha,ni mtu anayeijuwa siasa,ni mtu msema kweli, jasiri,imara, hodari, madhubuti, shupavu na mwenye misimamo yake na ya aina yake.

popote alipo ni lazima pafahamike na kuvuma kama upepo wa baharini, ni Mwamba kwelikweli, ni field Marshall ambaye akianza kuzungumza unaona hata sisiminzi wanatulia kusubiri amalize kuzungumza ndio waendelee na shughuli zao.kiukweli huyu Mwamba ni jasiri sijapata kuona. Ni jasiri mpaka shetani mwenyewe anamuogopa.

Leo katika kutoa kwake neno amemmwagia sifa kemkemu Askofu mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar es salaam Kardinali Pengo kwa kusema kuwa amesimama naye wakati akiwa na cheo na wakati akiwa hana cheo.

Akaendelea kusema kuwa anafurahi tena kumuona akikanyaga katika ardhi aliyopewa na Mheshimiwa Rais kuiongoza na ni bahati ya kimungu , na kwamba ni mwisho kuzaliwa kwa mapooza na kwamba ardhi haitazaa tena mapooza.

Mnafikiri alimaanisha nini Mwamba kwa kauli hii ndugu zangu. Mnauonaje ujasiri wa Mwamba awapo jukwaani na Maiki Mdomoni pake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

Pia, soma=> Rais Samia akiashiriki Misa Maalumu ya miaka 40 ya kumbukizi ya Kifo cha Hayati Sokoine
Mama anaupiga mwingi 😄
 
Back
Top Bottom