Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Sasa mji wa washamba kama Arusha ndio wakumtishia nao mtu yani katoto kama Dangote kanawakimbiza ndio mmpige mikwara Makonda?😂😂😂😂
Naongea kwa uzoefu mkuu. Nadhani kwa wanaowajua wameru watathibitisha hili. Ni tahadhari tu nimetoa
 
Usiwaamini sana watanzania, hata hao wameru wanaweza kunyweya kwa makonda
Huwajui wameru wewe. Unaikumbuka vita ya kugombea dayosisi ya kaskazini KKKT miaka ya 90 kati ya moshi na arusha? JWTZ ndio walikuja kutuliza hiyo vita ogopa mchungaji anaongoza ibada na panga limechomoza kwenye kanzu.
johnthebaptist kama unakumbuka elezea mawili matatu najua wewe ni Mlutheri nahisi 🤣
 
Wameru wakikuamulia ni kweli wana vurugu. Wanaweza kukuua mkutanoni ila serikali ina nguvu sana kuwashinda. Watanywea.
 
Mpaka serikali ije na wewe si umeshakua marehemu 🤣 yale yale ya Dr.kleruu na mwamwindi wa Iringa.
 
Yaaan wewe ni wakumtisha RC? Wameru ndio jeshi gani inchi hiiiiii?

RC ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na jeshi la polisi limo kwenye kamati, RPC wa Arusha yupo chini ya Makonda (polisi wana vituo karibia kila kata nchi hii)

Kwaiyo taarifa za usalama za mkoa mzima zipo ofisini kwa Makonda

Mmeru na Masai nani kiboko, sasa kama masai wamefyata wanahama Ngorongoro, hebu kuwa na akili basi
 
Back
Top Bottom