Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Viongozi sahv hakuna
Mipasho mingi tu wanafanya

Ova
 
Tamko alilotamka Mkuu wa Mkoa wa Arusha ni tamko mbaya sana na linaleta uchochezi na chuki. Ni aibu kutamka mbele ya kadamnasi ya watu kuwa kuna watu wanamtukana Mhe. Rais. Jambo hili alitakiwa amueleze Mhe. Rais kwa siri kubwa. Mhe. Rais Mkuu wa Mkoa wa Arusha hakufai ni bora umtumbue mapema atakuletea uadui mkubwa na Watanzania. Kikubwa anajipendekeza kwako.
Labda yeye ni mtumwa wa rais,ndio alimtuma?
 
Uliambiwa humu bashite ni kunguru hafugiki ila kwa upumbavu wako hukusikia. Tutatumia rejea hii ya kikwete kumtaka bashite ataje au tumuwajibishe
Asante kwa kumpatia huyo chawa jibu sahihi.
 
Makondakta kapelekwa kuwa RC ili uchaguzi ukifika achukue form ya ubunge agombee, kule kwenye uenez ingekuwa ngumu kugombea, akisha hombea ubunge atashinda, baada ya hapo litaundwa baraza la mawaziri ataihizwa ediha kama W/mkuu au Wizara nyeti, hapo ndio mtajua mchoro wa ramani mnaoupuza leo
 
Pamoja na hayo, ujumbe umefika.

Uko sahihi sana.

Ujumbe wa Makonda unaibua hadi Mende wa Mwaka juzi, hatari sana.

Makonda ni aina ya wale wanafunzi ambao wewe Kama mwalimu unatamani umkabe shingo hasipumue ila ndio vile, you’re also “the” best teacher.
 
Back
Top Bottom