Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Swali lako ni mada nyingine,jikite Kwenye mada hiiAti Specialist wa kutatua kero? je umejiuliza hizo kero zinasababishwa na nini?
I mean chanzo cha hizo kero ni nini? tuanzie hapo kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako ni mada nyingine,jikite Kwenye mada hiiAti Specialist wa kutatua kero? je umejiuliza hizo kero zinasababishwa na nini?
I mean chanzo cha hizo kero ni nini? tuanzie hapo kwanza.
Sio mbunifu nikielelezo cha kuonesha mifumo imefeli au dhaifu kabisa, na niusanii tu ukifuatilia baada ya hapo kero zinazotatuliwa ni less than 1% kwakua mfumo ni dhaifu watu hawako tayari kufanya kazi (demotivated) hivyo bado unaona umuhimu wakua na katiba mpya ili tubadili muundo wetu wa uongozi wananchi wapate huduma katika maeneo husika sio kwa kukusanywa nakudhalilishwa huwezi taka tatua shida za watu nakuchukua vi clip na waandishi wa habari kuvitumia kujijenga! Nonsense kabisa kila mtu akiwa anatekeleza majukumu yake ajirekodi ili aonekane anafanya kazi hiyo haitakua kazi,mtenda haki anafanya kwa matendo sio maneno hivyo huyo jamaa yenu ni muigizaji ndio mana usingae anavyo chukua video kama movieKwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.
Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.
Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.
Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
Kwa kuongezea, Makonda hata kama anajua kabisa njia anayoitumia sio sahihi hawezi kukubali kutumia njia sahihi.Kiuhalisia ni kwamba hakuna kero yoyote inayotatuliwa.
Huwezi kutatua kero za wananchi kwa kuwaita mmoja mmoja jukwaani kuwauliza kero zao kwenye nchi kama hii yenye watu milioni 60.
Kama kweli Makonda ana nia ya kutatua kero za wananchi, alitakiwa akae na viongozi wenzake wa ngazi za juu waweke MIFUMO THABITI itakayohakikisha kero hizo zinatatuliwa at regional/national level.
Kinyume na hapo ni cheap politics tu.
Ukweli mchungu, thanksKAZI ANAZOFANYA MH PAUL MAKONDA NDIO KAZI ZA KIONGOZI
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Mimi ni shabiki mkuu wa aina ya siasa za watu kama Paul Makonda. nimekuwa nikimshabikia bila woga akiwa kwenye madaraka na alipokuwa nje ya uwanja wa siasa za kitaifa,
Nasikitika sana kusema watu wengi hawajui kuchagua zuri na baya, nimewahi kusikia kelele za wajinga wanaomchukia Mh Paul Makonda mimi huwa nacheka kwa kicheko cha Magufuli RIP. Paul Makonda ni kiongozi kinara katika muongo mzima tangu 2010's katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara, labla tunaweza kumweka kundi moja na Malema wa South Africa. katika siasa za kuwsinua wananchi, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Paul Makonda ni Jembe tena sio la mkono, ni jembe la kitu zaidi ya trekta.
Tumekuwa na wimbi la vijana wamejikita kwenye siasa za kusambaza sambaza posters na habari na kwa bahati mbaya muda mwingine ndio wanaopewa nafasi kwa sababu tu wana maneno ya asali asali kwa viongozi, Paul Makonda sijawahi kumwona hivyo,
Paul Makonda ni kiongozi anayeingia field na kuwagusa kabisa wale wenye shida na haogopi kitu, mimi nikimsikiliza makonda najisikia raha sana kujua kumbe aina ya siasa za hivi inawezekana, yaani ukipewa kazi ni kufanya kazi sio kwenda kuwabembeleza watu na kuwalamba lamba miguu ili upate mali za wizi.
Nina mengi ya kusema kuhusu kiongozi huyu Jasiri, Mbunifu, Asiye na Chuki wala upendeleo, Muwazi, Asiyependa Majungu na Unafiki, PAUL MAKONDA.
SABAYA ARUDI KWENYE HATAMU KAZI ZIFANYIKE.
Ndimi Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
CCM LIA LIA
MTIA NIA MCHACHACHALI JIMBO LA KAWE
kwani kumshabikia mtu kunahitaji uoga au ujasiri?Mimi ni shabiki mkuu wa aina ya siasa za watu kama Paul Makonda. nimekuwa nikimshabikia bila woga akiwa kwenye madaraka na alipokuwa nje ya uwanja wa siasa za kitaifa,
Wivu ukizidi sana hugeuka kuwa nini? Naomba kila atakaye toa jibu hapa amtag KichuchungeMakonda hajawahi kutatua kero ya mtu yeyote zaidi ya kuwadhalilisha wahusika. Aliwahi kuwaita akinamama Dar es Salaam waliotelekezewa watoto, hakuna alichokifanya. Akajifanya kuwasaidia walimu wapate vitambulisho ili waweze kupanda bure daladala, hiyo nayo ikashindikana kwa kuonekana ni kama walimu wanadhalilika zaidi kwenye daladala kuliko kusaidika. Ilipokuja ishu ya dawa za kulevya, akaja na orodha ndefu ya majina ya watu aliokuwa na visasi nao. Zaidi ya hapo kilifuata nini, hakuna mtu hata mmoja aliyefungwa mahakamani kwa kosa hilo la dawa za kulevya. Hata kwenye ziara zake za uenezi amefanya kitu gani? Anadhalilisha tu watu kupitia matatizo yao, huku yeye akitafuta kiki ya kisiasa
.. Hajawahi kutatua kero...!Makonda hajawahi kutatua kero ya mtu yeyote zaidi ya kuwadhalilisha wahusika. Aliwahi kuwaita akinamama Dar es Salaam waliotelekezewa watoto, hakuna alichokifanya. Akajifanya kuwasaidia walimu wapate vitambulisho ili waweze kupanda bure daladala, hiyo nayo ikashindikana kwa kuonekana ni kama walimu wanadhalilika zaidi kwenye daladala kuliko kusaidika. Ilipokuja ishu ya dawa za kulevya, akaja na orodha ndefu ya majina ya watu aliokuwa na visasi nao. Zaidi ya hapo kilifuata nini, hakuna mtu hata mmoja aliyefungwa mahakamani kwa kosa hilo la dawa za kulevya. Hata kwenye ziara zake za uenezi amefanya kitu gani? Anadhalilisha tu watu kupitia matatizo yao, huku yeye akitafuta kiki ya kisiasa
Wewe acha uongo na maneno mengi! Makonda kwenye kliniki yake ya kutatua kero za wananchi amewatumia wanasheria wa Tanganyika Law Society! Mnapenda kumwekea maneno mengi na ujinga ujinga mwingi sana!Tatizo lake huwa hafikirii mambo!! Wewe kama RC, jambo liko mahakamani, na lingine limeshatolewa hukumu, unawezaje kumsaidia mtu?!!!
Funga mdomo, hunijui. Nipe ushahidi wa alichotatua kikazaa matunda. Hilo la madawa ya kulevya angalau tungeonyeshwa mfano wa wawili au watatu waliofungwa kwa ajili hiyo lakini ziliishia drama tu za kutafuta kiki. Acheni uchawa wa kumfagilia Makonda... Hajawahi kutatua kero...!
Ona huyu naye!
Yawezekana wewe ni punda ama zungu la unga kabisa isee!
Unaweka chuki zako za wazi hadharani ili angalao upoze machungu kidogo au siyo?
Hata mimi ningelikuwa tapeli wa mali za watu na majumba, muuza madawa ya kulevya na fisadi ningelimchukia sana Makonda kwa nmna utendaji wake unanyofukunyua, kubaini na kudhalilisha.