Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Mwambie makonda anachukua Jimbo la Arusha mjini 2025 Kwa mserereko !!!

Makonda namkubali kiutendaji huyu jamaa,ndio nuru pekee ya chama iliyobaki!!
mbona unasema ukweli mtupu tena hadharani mchana kweupe, comrade?🐒

lema atapiga yowe la kiume sasaivi 🤣
 
mbona unasema ukweli mtupu tena hadharani mchana kweupe, comrade?🐒

lema atapiga yowe la kiume sasaivi 🤣
We unaziona hizo ziara za jamaa ni za mkuu wa mkoa au za Mbunge na waziri ajaye!!?

Mi nineliona Hilo mapema sana!!

Lema aende manyara labda hapo hapana kabisa!!jamaa kaamua!!
 
We unaziona hizo ziara za jamaa ni za mkuu wa mkoa au za Mbunge na waziri ajaye!!?

Mi nineliona Hilo mapema sana!!

Lema aende manyara labda hapo hapana kabisa!!jamaa kaamua!!
comrade una jicho la kisiasa linaloona mbali zaidi ya tai....

For sure,
Top Down Approach na Bottom Up Approaches anazotumia kusolve issues na kureach conclusions za changamoto binafsi na za jumla za wanainchi, zilionyesha dhamira dhahiri ya jamaa, kwamba kuna kitu anataka na kuna kitu anakusudia kukipata hapo mbeleni, politically speaking 🐒
 
Makonda anakosa balance kwenye utendaji wake, mara nyingi nikimtazama ni kiongozi ambaye ameweka mbele maslahi ya wananchi (sio kosa) huku akiwakandamiza watendaji wenzake wa serikali hasa kwa matumizi mabaya ya lugha dhidi yao, ana egoism mbaya sana isiyofaa kwa kiongozi wa umma.

Anatakiwa ajue hata hao watendaji anaowatolea lugha za maudhi nae pia ni kama mlezi wao, ajifunze kupungumza mihemko anaposikiliza kero za jamii na anapozitafutia suluhisho, simply put, ajue kuchagua maneno ya kuongea mbele ya hadhira ili asiishie kutengeneza maadui ndani ya serikali anayoifanyia kazi.
Kama alivyokuwa jiwe (Makonda anaiga), anapenda sifa, na yuko tayari kufanya lolote kwa ajili ya kupata sifa/mileage za kisiasa haswa ikiwapo kamera. Ni kweli kuwa huenda anatatua matatizo lakini ange weza kufanya hivyo bila kubagaza wenzake.
 
Jamaa anakaa chini kwenye majani eti anamsikiliza mama mjane na shida zake!!

Hizo ni kura za mapema kabisa!
na hiyo kisiasa ni stamping authority strategy kwenye mioyo ya watu wa chini kabisaa kule ground...
It will reach a time hata akifanya kosa gani kwenye chama hamuwezi kumfukuza coz popote atakakoenda kwa wanainchi anaeleweka zaidi ya chama🐒
 
Hapa mkonda pale mwanangu sana sabaya anapasha
Huo moto ni fireee
 
check approaches zake katikati kufikia conclusions za malengo yake na matarajio ya wanainchi.....

Top Down Approach na Bottom Up Approaches, zinafanyika hadharini mchana kweupe ....

publicity ipi unataka tena?
every media platforms ni Makonda tu. which publicity is more than that?🐒

ndio maana nasema this gentleman is more than a leader 🐒
Sawa hongereni kwa kupata "kiongozi"
 
yule ni mpuuzi anayependwa na wapuuzi. kimsingi wote wamsifiaye makonda hawajjui lolote kuhusu utawala wa sheria achiliambali namna serikali inavyofanya shughuli zake. waliopita kwa kina MKANDALA Wataelewa hii.
hii kasumba ya kuamini kwamba kero za watu zinatatuliwa kwenye kadamnasi na kwakufokeana ni ya kipumbavu sana kwa watu wastaarabu
 
nafahamu unapenda sana kazi za umma zifanywe kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒

lakini haupendi hata kidogo transparency and accountability in implementations of programs and projects za kuwaletea wanainchi maendeleo 🐒

na hilo ni Tatizo binafsi unaweza tafuta namna binafsi kutatua...

but transparency and accountability is a key factors in transforming social, political and economic prosperity within a community 🐒
 
Back
Top Bottom