Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Aliua watu na kuwatupa kwenye viroba enzi za jiwe ,huyo alitakiwa kuwa segerea
Umesahau neno...weka ushahidi hapa, ili haki itendeke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliua watu na kuwatupa kwenye viroba enzi za jiwe ,huyo alitakiwa kuwa segerea
Tukisema mama hawezi,mnasema twendeni na mama 2025.
Ikifika 2030 nchi yote itakuwa imeoza
Sasa si ukafungue kesi mkuu unasubiri niniAliua watu na kuwatupa kwenye viroba enzi za jiwe ,huyo alitakiwa kuwa segerea
mbona unasema ukweli mtupu tena hadharani mchana kweupe, comrade?🐒Mwambie makonda anachukua Jimbo la Arusha mjini 2025 Kwa mserereko !!!
Makonda namkubali kiutendaji huyu jamaa,ndio nuru pekee ya chama iliyobaki!!
We unaziona hizo ziara za jamaa ni za mkuu wa mkoa au za Mbunge na waziri ajaye!!?mbona unasema ukweli mtupu tena hadharani mchana kweupe, comrade?🐒
lema atapiga yowe la kiume sasaivi 🤣
uko sahihi kabisa kamanda,Mimi na CCM ni maji na mafuta ila Makonda nampa maua yake kabla hajafa kama Magufuli.
Jamaa anakaa chini kwenye majani eti anamsikiliza mama mjane na shida zake!!uko sahihi kabisa kamanda,
saa zingine inakubidi tu ukubali na kusema ukweli, ili uwe Free....
Truthful shall set you free. Na huo ndio ungwana 🐒
comrade una jicho la kisiasa linaloona mbali zaidi ya tai....We unaziona hizo ziara za jamaa ni za mkuu wa mkoa au za Mbunge na waziri ajaye!!?
Mi nineliona Hilo mapema sana!!
Lema aende manyara labda hapo hapana kabisa!!jamaa kaamua!!
Kama alivyokuwa jiwe (Makonda anaiga), anapenda sifa, na yuko tayari kufanya lolote kwa ajili ya kupata sifa/mileage za kisiasa haswa ikiwapo kamera. Ni kweli kuwa huenda anatatua matatizo lakini ange weza kufanya hivyo bila kubagaza wenzake.Makonda anakosa balance kwenye utendaji wake, mara nyingi nikimtazama ni kiongozi ambaye ameweka mbele maslahi ya wananchi (sio kosa) huku akiwakandamiza watendaji wenzake wa serikali hasa kwa matumizi mabaya ya lugha dhidi yao, ana egoism mbaya sana isiyofaa kwa kiongozi wa umma.
Anatakiwa ajue hata hao watendaji anaowatolea lugha za maudhi nae pia ni kama mlezi wao, ajifunze kupungumza mihemko anaposikiliza kero za jamii na anapozitafutia suluhisho, simply put, ajue kuchagua maneno ya kuongea mbele ya hadhira ili asiishie kutengeneza maadui ndani ya serikali anayoifanyia kazi.
Mwenye youtube..... asiyekuwa nayo? 😀Makonda ni kiongozi mzuri sana, mbona kila mwenye youtube anaona matendo yake?
na hiyo kisiasa ni stamping authority strategy kwenye mioyo ya watu wa chini kabisaa kule ground...Jamaa anakaa chini kwenye majani eti anamsikiliza mama mjane na shida zake!!
Hizo ni kura za mapema kabisa!
Sawa hongereni kwa kupata "kiongozi"check approaches zake katikati kufikia conclusions za malengo yake na matarajio ya wanainchi.....
Top Down Approach na Bottom Up Approaches, zinafanyika hadharini mchana kweupe ....
publicity ipi unataka tena?
every media platforms ni Makonda tu. which publicity is more than that?🐒
ndio maana nasema this gentleman is more than a leader 🐒
shukrani kwa Mungu,Sawa hongereni kwa kupata "kiongozi"
worry out,Any publicity is good publicity
nafahamu unapenda sana kazi za umma zifanywe kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒yule ni mpuuzi anayependwa na wapuuzi. kimsingi wote wamsifiaye makonda hawajjui lolote kuhusu utawala wa sheria achiliambali namna serikali inavyofanya shughuli zake. waliopita kwa kina MKANDALA Wataelewa hii.
hii kasumba ya kuamini kwamba kero za watu zinatatuliwa kwenye kadamnasi na kwakufokeana ni ya kipumbavu sana kwa watu wastaarabu