Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Wakuu,

Familia imeamua shemeji yangu wa longido tutamsindikiza Arusha kwenda kuomba msamaha ni baada ya wazee kujadiliana na kuona kua makonda alikua katika utani.

Tunawaomba UWT na LHRC watuache hili suala tutalimaliza wenyewe, na wale wsliolipeleka kisiasa watuachie wanafamilia wenyewe

Tutaita vyombo vya habari ili kuweka ushahidi.
 
Ni huyu hapa.
IMG_5956.jpeg
 
Sipendi mtu atangaze kabla ya kutenda. Ila nafahamu, at least, watu wawe na matumaini na furaha. Ni kitu kizuri
 
Taarifa zinazobamba na ambazo hazipoi kusikiliza na za mkuu wa mkoa wa Arusha.

Huyu wa kwetu anasema ukifikia umri wa miaka 40 na bado wewe ni maskini huna hela usimlaumu rais.
 
Wanajitahidi kufanya mikutano ya wananchi ili wafanane na makonda, wakifika kwenye mikutano wanajikuta hawana hoja..wakati wana resources kibao na jamii ina matatizo chungu nzima. Ogopa sana uwe kiongozi kisha ukose maono.
 
Chini ya uongozi wa Comrade Dr Makonda. Jiji la Arusha litaizidi Geneva kwa miundombinu, huduma za jamii na kupokea idadi kubwa ya watalii
 
Chini ya uongozi wa Comrade Dr Makonda. Jiji la Arusha litaizidi Geneva kwa miundombinu, huduma za jamii na kupokea idadi kubwa ya watalii
Litaizidi lini? Mwenyewe kaomba apangiwe kazi nyingine ifikapo January kwani atakuwa kawanyoosha watumishi wazembe.
 
Ni geneva uswisi au ni geneva nyingine? Huu ni mzaha kuifananisha Geneva Uswisi iliyoko Ulaya na Arusha Tanzania. Yaani Arusha iipiku Dar kwa miundombinu na iwe zaidi ya Deneva ni mzaha mkubwa sana! Labda iwe ni abrakadabra za kisiasa tu ndio itaipiku Geneva, Uswisi
 
Back
Top Bottom