Paul Makonda unatakiwa ujifunze na ujitafakari sana

Paul Makonda wanaDar es Salaam wanamhitaji sana sema wewe ndio unachuki naye. Mkoa wa Dar ni wa Paul Makonda.
 
Reactions: ZNM
Wewe hangaikia lishe yako na wanao.
Huyo Makonda nakushauri uachane nae sio msugua benchi kama unavyofikiria wewe na wenzio.
Maisha aliyo nayo kwa sasa hata mawaziri Hawanayo.
Na anao ulinzi wa kutosha na anakula bata full time.
 
Reactions: ZNM
Kwa kupandisha huu uzi tayari umemsaidia angalau kupata nafasi ya kutajwa.
 
Kweli kila zama na kitabu chake, jamaa kweli alikuwa "Mkuu" wa mkoa ilikuwa kama hutakiwi kuwa ndani ya mkoa wake hata kama hakujui ila by association hutakiwi kuwepo aisee utatafuta njia mwenyewe uondoke[emoji125][emoji125][emoji125]
Jamaa ni katili sana kuliko hata Amin
 
Ninacho jua sababu kuu ya Marekani kumpiga ban ni baada ya yeye kuwashikia njuga mashoga kama wewe.

Sio ninyi mliokuwa mnapiga kelele kuwa ana vyrrti deli atolewe. Amesha tolewa tena mnashangaa eti kwanini hateuliwi.

Hii nchi ni ngumu Sana
Yaani shoga hawapendani
 
Duh,mbinguni tutaingia wachache sisi,ngoja niwahi nikawakute mabikira wangu uko
Na kwa maandishi ya Kiislam tunaambiwa tutapewa nguvu ya kutumia mizigo mia kwa siku ila unapewa uchape 60 hii ya arobaini unabaki nayo tu-by Shekh Kipozeo mwanazuoni nguli wa Dini ya Kiislam na Mwalimu mashukhuri katia mihadhara adhimu ya kidini.
 
Asante sana mkuu kwa kugundua hili
 
Andhani yaliisha? Hata ajikalishe kimya watu wanapima upepo. Jinai haifi hata baada ya miaka 50 awe Uswisi awe Urusi atakuwa Deported tu.

Alishalikoroga hata kaa apate amani maishani
Hata vilio na machozi ya familia mbali mbali vitazidi kumuandama maishani mwake
 
Mwenye mkoa wa daresalaam,alikataza watu kujenga nyumba zenye ma paa marefu kwenye mkoa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…