Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hivyo hivyo hakuna tofautiAu SAwa na mustafa wa abacha aliogopwa zaidi ya abacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo hivyo hakuna tofautiAu SAwa na mustafa wa abacha aliogopwa zaidi ya abacha.
Ni kichakaCcm ulinda wahalifu.
Hapo ndiyo magonjwa yasiyo ambukiza yanatajwa kumbe ni siku imefikaNdani ya mkoa wangu, serikali yangu.
Ndumba mbaya sana ukupa matumaini hewa ya kuamini utadumu milele.Zikiexpire utamsalia mtume.
Huwezi ukawa mbabe au na kinga kuliko wote utaalamu unazidiana.Hapo ndiyo magonjwa yasiyo ambukiza yanatajwa kumbe ni siku imefika
Wao wanajua na Wana information kuliko wewe.Sidhani kama kama alikuwa amefika level hiyo. Na kama huo mpango ulikuwepo basi aaingeenda yeye.
Kumshuru mtu state siyo lahisi kama mnavyodhani
Ubarikiwe sana kiongoziHuwezi ukawa mbabe au na kinga kuliko wote utaalamu unazidiana.
Unazulumu pesa ya mtu aliyeingia mkataba wa pesa na shetani,mwenye pesa anakustaki direct kwa shetani kwamba zile pesa ulizonipa kachukua fulani unategemea nn.
Ktk maisha jitahidi usiwe chanzo cha kutafutwa na watu usiwatendee mabaya watu, huwezi ukawa mtaalamu kuwashinda wote.Ukienda kusini wenzio uenda kaskazini.
Kitu pekee ambacho ninajifunza katika hii dunia ni kwamba kila nifanyalo ni lazima lipite, itakua "ilishakuwa". Kiufupi ili uendelee kufurahia maisha katika hii dunia tendwa wema wenzako, tenda haki, jiepushe na arrogance (kibri na majivuno).
Paul Makonda aliyekabidhiwa mkoa mkubwa wenye population kubwa kama Dar es Salaam leo hii yupo benchi anasugua miguu kweli? Huyu mtu naona si bure kuna mengi ambayo si mazuri alifanya nyuma ya pazia ambayo anayajua yeye na Mungu wake pamoja wanaomjua kiundani. Kama tunaambiwa kua Sabaya ni cha mtoto kwa huyu jamaa, hivi kwake ilikuaje?
Yaani unafikia mapaka hatua ya kuwekewa kikwazo na taifa la Marekani wewe si wa kawaida, unaambiwa inanyima watu haki yao ya kuishi maana yake nini? Yawezekana kabisa hata mamlaka zinaona kabisa haifai kabisa huyu mtu kumpa hata ukuu wa Wilaya.
Yawezekana kabisa mamlaka zimemkataa huyu bwana kwa matendo na tabia zake, kumpa mamlaka tena ni kumrudisha kule kule alikokuwa akifanya. Mtu unafikia hadi kuomba kibali hadharani kwa mkuu wa nchi kuwashughulikia wanaomkosoa?
Makonda hakuona shida kuwakejeli mawaziri na hata kuwachongea kwa Rais. Huyu alikua RC tu, angekua hata Waziri ingekuwaje?
Tujifunze kua kibri,dharau na majivuno kwa binadamu wenzako si kitu.
HaramuMakonda ametumia fursa vizuri sana ,kwasasa Bashite ni Bilionea ,hata akikaa miaka 10 bila kufanya kazi ,biashara zake za aprtments ,maghorofa ya kupangisha ,majumba yanamuingizia pesa.
Ninacho jua sababu kuu ya Marekani kumpiga ban ni baada ya yeye kuwashikia njuga mashoga kama wewe.
Sio ninyi mliokuwa mnapiga kelele kuwa ana vyrrti deli atolewe. Amesha tolewa tena mnashangaa eti kwanini hateuliwi.
Hii nchi ni ngumu Sana
Keng* kama nyie mnatafutia watu ban.Wewe ni mpuuzi sana! Wa.jinga kama Wewe ndo wanairudisha Tanzania nyuma ! Ina maana taarifa ya Mike Pompeo wewe hukuisikia ya Paulo Makonda kunyima wenzake haki ya kuishi ( uuaji)?
Paulo Makondo amekaa kimya kwa kuwa anajua akinyanyua tu domo lake ataulizwa alipo Ben Saanane na wengine wengi!
Ok kama mamlaka zitaamua kufuatilia uwekezaji wake na kipato alicho nacho anasalimikaje huyo mtu?Makonda ametumia fursa vizuri sana ,kwasasa Bashite ni Bilionea ,hata akikaa miaka 10 bila kufanya kazi ,biashara zake za aprtments ,maghorofa ya kupangisha ,majumba yanamuingizia pesa.
Siyo mstaafu bali ni mfukuzwaUnaweza kuta mwenzako ana pesa zake na uchumi umetulia ila wewe unamuona kama anapitia hali ngumu.Mwache mstaafu apumzike
alifukuzwa lini? navyojua Hayati alisema ukigombea ubunge wakati yeye alikuteua automatically unakuwa umejitoa na yy ndicho alichokifanyaSiyo mstaafu bali ni mfukuzwa
Hana sifa ya kuitwa mstaafu kwani hakuwa na sifa ya kuwa mtumishi.alifukuzwa lini? navyojua Hayati alisema ukigombea ubunge wakati yeye alikuteua automatically unakuwa umejitoa na yy ndicho alichokifanya
zipi zinamfanya mtu kuwa mtumishi? na zipi zinamuondolea mtu kuwa mtumishi?Hana sifa ya kuitwa mstaafu kwani hakuwa na sifa ya kuwa mtumishi.
Sifa zinazo kuondolea sifa kuwa mtumishi ni kukosa vigezo vya kuajiriwa.ni sifa
zipi zinamfanya mtu kuwa mtumishi? na zipi zinamuondolea mtu kuwa mtumishi?