Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Yeye hakuwa na sifa zipi? una ushaidi?Sifa zinazo kuondolea sifa kuwa mtumishi ni kukosa vigezo vya kuajiriwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye hakuwa na sifa zipi? una ushaidi?Sifa zinazo kuondolea sifa kuwa mtumishi ni kukosa vigezo vya kuajiriwa.
Hakuwa na vyeti hutaki kajinyongeYeye hakuwa na sifa zipi? una ushaidi?
Makonda alifukuzwa na nani?Siyo mstaafu bali ni mfukuzwa
Watanzania wepesi sana kuvipa vitu vya kusikia nafasi. Pole mkuu.Hakuwa na vyeti hutaki kajinyonge
Pole wewe unaye msujudia binadamu mwenzakoWatanzania wepesi sana kuvipa vitu vya kusikia nafasi. Pole mkuu.
IMAGINE ALIMSHTAKI HATA MPANGO KWA JPM.. KWENYE LILE SAKATA LA MAKONTENA.Kitu pekee ambacho ninajifunza katika hii dunia ni kwamba kila nifanyalo ni lazima lipite, itakua "ilishakuwa". Kiufupi ili uendelee kufurahia maisha katika hii dunia tendwa wema wenzako, tenda haki, jiepushe na arrogance (kibri na majivuno).
Paul Makonda aliyekabidhiwa mkoa mkubwa wenye population kubwa kama Dar es Salaam leo hii yupo benchi anasugua miguu kweli? Huyu mtu naona si bure kuna mengi ambayo si mazuri alifanya nyuma ya pazia ambayo anayajua yeye na Mungu wake pamoja wanaomjua kiundani. Kama tunaambiwa kua Sabaya ni cha mtoto kwa huyu jamaa, hivi kwake ilikuaje?
Yaani unafikia mapaka hatua ya kuwekewa kikwazo na taifa la Marekani wewe si wa kawaida, unaambiwa inanyima watu haki yao ya kuishi maana yake nini? Yawezekana kabisa hata mamlaka zinaona kabisa haifai kabisa huyu mtu kumpa hata ukuu wa Wilaya.
Yawezekana kabisa mamlaka zimemkataa huyu bwana kwa matendo na tabia zake, kumpa mamlaka tena ni kumrudisha kule kule alikokuwa akifanya. Mtu unafikia hadi kuomba kibali hadharani kwa mkuu wa nchi kuwashughulikia wanaomkosoa?
Makonda hakuona shida kuwakejeli mawaziri na hata kuwachongea kwa Rais. Huyu alikua RC tu, angekua hata Waziri ingekuwaje?
Tujifunze kua kibri,dharau na majivuno kwa binadamu wenzako si kitu.