Paul Makonda unatakiwa ujifunze na ujitafakari sana

Ndani ya mkoa wangu, serikali yangu.
Ndumba mbaya sana ukupa matumaini hewa ya kuamini utadumu milele.Zikiexpire utamsalia mtume.
Hapo ndiyo magonjwa yasiyo ambukiza yanatajwa kumbe ni siku imefika
 
Hapo ndiyo magonjwa yasiyo ambukiza yanatajwa kumbe ni siku imefika
Huwezi ukawa mbabe au na kinga kuliko wote utaalamu unazidiana.
Unazulumu pesa ya mtu aliyeingia mkataba wa pesa na shetani,mwenye pesa anakustaki direct kwa shetani kwamba zile pesa ulizonipa kachukua fulani unategemea nn.
Ktk maisha jitahidi usiwe chanzo cha kutafutwa na watu usiwatendee mabaya watu, huwezi ukawa mtaalamu kuwashinda wote.Ukienda kusini wenzio uenda kaskazini.
 
Sidhani kama kama alikuwa amefika level hiyo. Na kama huo mpango ulikuwepo basi aaingeenda yeye.

Kumshuru mtu state siyo lahisi kama mnavyodhani
Wao wanajua na Wana information kuliko wewe.
 
Ubarikiwe sana kiongozi
 

Makonda ametumia fursa vizuri sana ,kwasasa Bashite ni Bilionea ,hata akikaa miaka 10 bila kufanya kazi ,biashara zake za aprtments ,maghorofa ya kupangisha ,majumba yanamuingizia pesa.
 
Wewe ni mpuuzi sana! Wa.jinga kama Wewe ndo wanairudisha Tanzania nyuma ! Ina maana taarifa ya Mike Pompeo wewe hukuisikia ya Paulo Makonda kunyima wenzake haki ya kuishi ( uuaji)?
Paulo Makondo amekaa kimya kwa kuwa anajua akinyanyua tu domo lake ataulizwa alipo Ben Saanane na wengine wengi!
Ninacho jua sababu kuu ya Marekani kumpiga ban ni baada ya yeye kuwashikia njuga mashoga kama wewe.

Sio ninyi mliokuwa mnapiga kelele kuwa ana vyrrti deli atolewe. Amesha tolewa tena mnashangaa eti kwanini hateuliwi.

Hii nchi ni ngumu Sana
 
Keng* kama nyie mnatafutia watu ban.
Pole sana inaonekana umeshinda njaa leo.
Umekula kweli?

Paul alianza kuwashughulikia mashoga wenzio ndio ikawa shida. Hivi wewe ulipona pona je.

Kama kweli alifanya mauaji mbona hanjaenda kufungua kesi.

Kima of the highest degree.
 
Unaweza kuta mwenzako ana pesa zake na uchumi umetulia ila wewe unamuona kama anapitia hali ngumu.Mwache mstaafu apumzike
 
Makonda ametumia fursa vizuri sana ,kwasasa Bashite ni Bilionea ,hata akikaa miaka 10 bila kufanya kazi ,biashara zake za aprtments ,maghorofa ya kupangisha ,majumba yanamuingizia pesa.
Ok kama mamlaka zitaamua kufuatilia uwekezaji wake na kipato alicho nacho anasalimikaje huyo mtu?

Yaani hata bila ya aibu mnasifia ufisadi?
Naona watanzania tumerogwa siyo bure.
 
alifukuzwa lini? navyojua Hayati alisema ukigombea ubunge wakati yeye alikuteua automatically unakuwa umejitoa na yy ndicho alichokifanya
Hana sifa ya kuitwa mstaafu kwani hakuwa na sifa ya kuwa mtumishi.
 
πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…