Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Huo si ushuru ni kodi ushuru unalipa mara moja tu basi Chadema wamegeuka TRA kukata kodi mapato ya wabunge wa Chadema .Hayo makato hayako Kisheria Na wala hayako kwenye katiba ya Chadema kuwa Kila mbunge atakatwa laki tano Kila mwezi. Wabunge Chadema kataeni.Utawala wa Sheria uzingatiwe.Hayo makato hayako Kisheria
 
Write your reply...MBOWE ANAFISADI FEDHA ZA RUZUKU NA MARAFIKI ZAKE KINA JOHN MREMA PALE MAKAO MAKUU HUKU CHAMA KIKIMFIA.MCHAWI WA CHADEMA NI MBOWE
 
Waende wote siyo Habari. Akienda Lissu ndio itakuwa Habari.
 
Nanukuu“Ni ukweli usiopingika kwamba mzigo wa kuendesha chama umeachwa mabegani mwa wabunge, chaguzi ndogo zilizopita hakuna msaada wowote kutoka chama makao makuu, fikiria kutoka mwaka 2015 mchango wa kuendesha chama kutoka makao makuu haujazidi shilingi za kitanzania laki tano(500,000). Chaguzi zote nigharamie mimi, ilihali chama kinapata ruzuku ya Zaidi ya milioni 300 kila mwezi na bado wanatukata zaidi ya 500,000 kila mwisho wa mwezi, hii sio haki” Mwisho wa kunukuu.
Mwenyekiti inabidi ajitafakari siyo kuja na visingizio vya kwamba eti wananunuliwa. Hata ningekuwa mimi kwa upuuzi huu ningehama chama haiwezakani ruzuku yote milioni 300 kila mwezi utafune halafu unikate tena laki tano kila mwezi hakika huu ni ulafi uliopitiliza.
 
Aisee.... Ktk wabunge wote waliokimbia CHADEMA huyu mama ndio nimemuelewa vizuri zaidi. Kaweka kilakitu wazi. Hajawa mnafiki hata kidogo. Wengine nazani walikuwa wanajaribu kulinda Heshima ya Mbowe. Wakasema tu kwamba wanaunga mkono juhudi za rais kumbe moyoni walikuwa nazaidi ya hayo! Nimeamini wanaume tumeumbwa na vifua!
 
Mnyeti kafikisha wabunge wawili na madiwani karibia 5 sasa Manyara toka awe RC wanaorudi chama tawala
 
Mwenyekiti wa Chama kagauka kuwa mtoza kodi kwa wabunge. Wabunge wanatakiwa kukatwa kodi ya Tshs 500,000 kwa mwezi!! Hakuna ukaguzi wa hizo pesa.

Zaidi ta hayo, Gekul kalalamika kwamba kuna juhudi za viongozi wa Chama kutaka kutweza utu wake.

Hayo ndio matatizo makubwa sana ya Chama.
Kusema kweli katika wooote waliohama huyu mama Kafunua Kombe na Mwanaharamu hawezi kupita.
 
hii barua ni maarufu sana kwa kuhamisha kununulia wabunge wa cdm.
hapa ni kusaini tu baada ya kuingiza salio kuu.
 
Ingependeza kichwa cha habari kisomeke Boss wa Mbowe Na Godless Lema ahamia CCM.Pauline Gekul ndiye alikuwa mwenyekiti wa wabunge wa kanda yote ya kaskazini wa Chadema ambamo Mbowe Na Godless Lema ni wabunge wa hiyo kanda ambao walikuwa wakimwamkia Pauline Gekul Shikamoo Boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…