Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Mbunge mpinga unyanyasaji, alihama Chadema kupinga unyanyasaji, akajiunga CCM, sasa ndio amegeuka mnyanyasaji!.
P
Na wewe uliamini ngonjera zake wakati wa Biashara ya kiasiasa? Mwanamke aliyemnyanyasa mumewe sababu ya madaraka anawezaje kuwa mpinga manyanyaso? Gekul ni mnyanyasaji hata kabla ya hili la Sasa, uliza mumewe Yuko wapi na kilimtokea nini baada ya Gekul kuuaga umasikini?
 
Aisee wambuku/wairaq wana nyodo sana wakijipata. kuna mke wa ndugu yangu alimwambia mdogo wa mume wake wa kiume, unawashwa eh, mbele ya mama mkwe wake, kisha dogo aliomba gari aende beach na rafiki zake. kuanzia siku hyo sikuwai tena kanyaga kwa huyu ndugu.
 
Wanaamini ni wazuri kuliko wanawake wote Tanzania. Wanajitapa asili yao ni Ethiopia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…