Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

Dah ndo maana nikauliza, kipindi Chetu ukipata 1.7 muhas medicine ni uhakika!!! Kupiga div 1 mbinde kwelikweli, nashangaa juzi naona matokeo form 6 karibia wote wana div 1
Kama kapata mwaka huu kwa ufaulu huo ni bahati sana .
 
Nakumbusha tu kwamba vyuo vinavyofanya MD program hapa TZ havifiki 10 kwa idadi so let's say at maximum chuo kimoja kina hold 300 students each year which means TZ nzima ni watU 3000 tu watasoma MD kwa huo mwaka

ELIMU NI NGUMU
ELIMU NI UTAPELI
ELIMU NI KIKWAZO CHA MAENDELEO BINAFSI
Wee ni Kijana wa ovyo sana
 
PCB ni noma.Mi nilisoma PCB nikiwa dayscholar, nilikuwa naenda shule sa 10 usiku natoka sa 6 usiku kila siku, ule mwaka wa mwisho wa form 6. Hadi watu wakaanza kuniita Dusk-Dawn[emoji28]
 
Inategemea na shule huku Feza na kemiboss hayo mambo hayapo na wanapata A
 
kuna shule zimeanzishwa mpya kama zote genius wa darasa anagonga 3 elimu ya bongo tia maji sana labda hizo special maana hata hizi kongwe unakuta zenye PCB/M one 17 zero 20 four kama zote ni ualimu tu na mathree yao
Nawahurumia vijana waliopelekwa shule mpyaa kabisa(wanafungua ukurasa form five) Kwan wakifik huko wanakosa direction na kujiona vipangaa..
 
Hizo combination ni ngumu ila msikazie sana kiivyoooooooooooo kusoma ni kujipanga tu ukienda ukakaza fuvu hutoboi ndo maana elimu yetu hata haivutii yan watu wanaogopeshwa utadhan kuna kifo huko waendako kumbe kawaida tu tusiongeze ugumu kwenye mambo magumu wambie tu wajitahd sio kuanza kuwatisha mara organic sijui what what waambie tu waende wasome full stop acha mambo ya kutisha watu kana kwamba ndo wakwanza kukisoma hicho kitu au nyie ndo wakwanza kufaulu hvyo vipnd kwenye mazingira yenu????
 
Mm nilisomea hgl na maisha yanaenda sana. Sasa na imani nimekuzidi kipato na kila kitu ndo napochoka
Mkuu unachanganya mambo, kipato hakitegemei HGL wala PCB, si bora wew una HGL, Msukuma yule wa Geita ni darasa la 7 but nina uhakika amekuzid mawe wew mwenye HGL. Mada ni ugumu wa masomo ya Sayans, km hujasoma hayo unapita tu kimya kimya
 
Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
PCM baba lao 😊😝
 
kuna muda kusoma kombi hizo kujitesa tu, watu wanapiga HKL (Hatusomi kufaulu lazima), HGL, HGE, EGM nk halafu wanakuja kusoma program ambazo tunazidharau kisha wanakuja kupiga mpunga mrefu kuliko hao madaktari au maengjneer.

Brother wangu kasoma EGM kisha kaenda kupiga BCOM pale UDOM (CBSL) anapiga mpumga mrefu mara tatu zaidi ya shemeji yangu ambaye ni medical doctor (ambaye amesoma miaka 5 + 1 wa intern)

Nimejifunza kutodharau combination au program ambayo mtu anaisomea
 
PCB ya kifala sana , mgote alikua anatuamsha saa kumi usiku swali mnalopewa" a stone was thrown from a height 16m with velocity 5.8m/s to a rotating tyre 25m away with spokes apart 5 cm . Calculate time when the stone will pass witout touching tyre spokes? Mambo ya kifala sana
 
Katika maswali yote anayotoa napata 5 nkaona uyu fala lengo lake tuwe chizi tusilale nkaacha pindi zake nkawa nasoma nelcon na roger manchaster na nlifaul fresh tu. Tatz la shule zetu ni matango mengi kuliko sylubus
 
kuna muda kusoma kombi hizo kujitesa tu, watu wanapiga HKL (Hatusomi kufaulu lazima), HGL, HGE, EGM nk halafu wanakuja kusoma program ambazo tunazidharau kisha wanakuja kupiga mpunga mrefu kuliko hao madaktari au maengjneer.

Brother wangu kasoma EGM kisha kaenda kupiga BCOM pale UDOM (CBSL) anapiga mpumga mrefu mara tatu zaidi ya shemeji yangu ambaye ni medical doctor (ambaye amesoma miaka 5 + 1 wa intern)

Nimejifunza kutodharau combination au program ambayo mtu anaisomea
- kingine hizo Kombi za Pcb na pcm ambazo mostly huwa ni MD na engineers, kuingia sehemu zenye Hela kama TRA,ni ngumu sana, wengi wanaishia kufanya kazi halmashauri tu, salary scale ya Wakili wa TRA ni mara tatu ya Engineer wa halmashauri,
 
Nawahurumia vijana waliopelekwa shule mpyaa kabisa(wanafungua ukurasa form five) Kwan wakifik huko wanakosa direction na kujiona vipangaa..
Shule za A level ni vituo vya mitihani.ukitegemea kufaulu shule hizo Mpya ni Ndoto za mchana
 
Back
Top Bottom