adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Dy /Dx ,Du/Dt nilikuwa sipendi hayo mambo .Mambo ya differenciation na integration 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dy /Dx ,Du/Dt nilikuwa sipendi hayo mambo .Mambo ya differenciation na integration 🙌
Kama kapata mwaka huu kwa ufaulu huo ni bahati sana .Dah ndo maana nikauliza, kipindi Chetu ukipata 1.7 muhas medicine ni uhakika!!! Kupiga div 1 mbinde kwelikweli, nashangaa juzi naona matokeo form 6 karibia wote wana div 1
Wee ni Kijana wa ovyo sanaNakumbusha tu kwamba vyuo vinavyofanya MD program hapa TZ havifiki 10 kwa idadi so let's say at maximum chuo kimoja kina hold 300 students each year which means TZ nzima ni watU 3000 tu watasoma MD kwa huo mwaka
ELIMU NI NGUMU
ELIMU NI UTAPELI
ELIMU NI KIKWAZO CHA MAENDELEO BINAFSI
Nawahurumia vijana waliopelekwa shule mpyaa kabisa(wanafungua ukurasa form five) Kwan wakifik huko wanakosa direction na kujiona vipangaa..
Mkuu unachanganya mambo, kipato hakitegemei HGL wala PCB, si bora wew una HGL, Msukuma yule wa Geita ni darasa la 7 but nina uhakika amekuzid mawe wew mwenye HGL. Mada ni ugumu wa masomo ya Sayans, km hujasoma hayo unapita tu kimya kimyaMm nilisomea hgl na maisha yanaenda sana. Sasa na imani nimekuzidi kipato na kila kitu ndo napochoka
PCM baba lao 😊😝Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
kuna muda kusoma kombi hizo kujitesa tu, watu wanapiga HKL (Hatusomi kufaulu lazima), HGL, HGE, EGM nk halafu wanakuja kusoma program ambazo tunazidharau kisha wanakuja kupiga mpunga mrefu kuliko hao madaktari au maengjneer.Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
Oy aende diploma, ohooasiende form 5?
- kingine hizo Kombi za Pcb na pcm ambazo mostly huwa ni MD na engineers, kuingia sehemu zenye Hela kama TRA,ni ngumu sana, wengi wanaishia kufanya kazi halmashauri tu, salary scale ya Wakili wa TRA ni mara tatu ya Engineer wa halmashauri,kuna muda kusoma kombi hizo kujitesa tu, watu wanapiga HKL (Hatusomi kufaulu lazima), HGL, HGE, EGM nk halafu wanakuja kusoma program ambazo tunazidharau kisha wanakuja kupiga mpunga mrefu kuliko hao madaktari au maengjneer.
Brother wangu kasoma EGM kisha kaenda kupiga BCOM pale UDOM (CBSL) anapiga mpumga mrefu mara tatu zaidi ya shemeji yangu ambaye ni medical doctor (ambaye amesoma miaka 5 + 1 wa intern)
Nimejifunza kutodharau combination au program ambayo mtu anaisomea
-huo Ugumu bila reward ya pesa ni Ujinga mtupu,Unachanganya mambo hayo mambo ya kipato hayahusiani na PCM wala HGK, hapa tunazungimzia ugumu wa PCM na PCB
Shule za A level ni vituo vya mitihani.ukitegemea kufaulu shule hizo Mpya ni Ndoto za mchanaNawahurumia vijana waliopelekwa shule mpyaa kabisa(wanafungua ukurasa form five) Kwan wakifik huko wanakosa direction na kujiona vipangaa..
Hiyo ni kwako, sio kwa kila mtu-huo Ugumu bila reward ya pesa ni Ujinga mtupu,
-
Usilalamike mshahara mdogo basHiyo ni kwako, sio kwa kila mtu