Palamagamba amepitaKilosa?
Acha uongo wewe mwaka 2015 ulikuwa wapi?Kule ni Mbumbuubu tupu,kwanza vinajua ccm tu ndio chama Nchi hii. Maisha Duni kinoma kipaumbele Uchawi.
Jamaa anapotosha na kusini haijui.Wewe kwenu wapi ?
Mnakaririshwa sana mambo .
Huko Kusini Cecil Mwambie hakuna mbunge wa ndanda kwa ticket ya CHADEMA? Vip Mzee Suleiman Bwege wa Kilwa alikuwa Bungeni kwa ticket ya CCM au Kilwa ipo Kaskazin?
Huyu da Jesca yaonyesha hakuwa na maelewano mema na wajumbe.
KWIMBA COSMAS BULALANyamagana ...ilemela na Magu nani ana report ya matokeo
Kura za Nape ziludiwe kuhesabiwa.Kwamba Nape kapigwa chini??
Nani kapitaBikoba vijijini umepotosha
Naibu waziri kapitaKapita Mwijaku. πππ
Nitajie yeyote wa ajabu wewe unae mfahamuLushoto kuna nani wa ajabu sasa?
Condester wamemla kichwa! Roho imeuma sana.Mkoa wa Songwe
Ileje Kasekenya Godfrey
Vwawa Hasunga
Mbozi Onesmo
Tunduma Silinde
Momba Ombeni Nanyaro
Kuna vikao vingine tena kwa taarifa yako.Si wameshakaa vikao vya aina hiyo walimkata Byabato, Gambo, Makamba na wengine, wakiwakata hawa waliopitishwa na wajumbe itakuwa uonevu.
Evidence?Kingwangwala kashindwa
Vipi shinyanga mjini Masele kapita?Huu ndio ukweli na CCM hapa wamempa Zito ushindi wa Bure.
Wangeshibda Hilo Jimbo kama Baba Levo angekuwa mgombea.
Ila ndio Michezo ya CCM , nadhani CC inaweza mkata huyo mahindi.
Kavuu ameshina nani?ππππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DM8TVjEt9pO/?igsh=MWQ3aWVnaWZlMGE1cw==
Never..ππππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DM8TVjEt9pO/?igsh=MWQ3aWVnaWZlMGE1cw==