Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Wapemba wana mateso makubwa sana "Right to self determination"inakosekana sanaOngea yao (wapemba) taratiiibu na kwa "tahadhari" ila mioyo yao sasa visasi nk....mh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapemba wana mateso makubwa sana "Right to self determination"inakosekana sanaOngea yao (wapemba) taratiiibu na kwa "tahadhari" ila mioyo yao sasa visasi nk....mh!
We naye Pu.n.ga huo msikiti ndio umedhurumu haki yao?..wakati wananchi wanadhulumiwa na kunyimwa haki zao hawazungumzi.
..wanakuja kuzungumza baada ya wananchi kuamua kuchukua sheria mikononi mwao.
Ona huyu naye ahahahahaNinesoma vyooote ila nimekuwa attracted na jina la mtaa tu!! "Mwatako".
Jamaa wamevamia "Mwatako" eeeh! Wanatabia mbaya sana
Fafanua kidogoHayo ndiyo IGP Sirro anayayataka.
Mkuu kwanza ni Kijiji Cha Kanga gani mtaa wa mwatako Sasa pata picha kanga gani imefungwa kwenye tako yani dahhhNinesoma vyooote ila nimekuwa attracted na jina la mtaa tu!! "Mwatako".
Jamaa wamevamia "Mwatako" eeeh! Wanatabia mbaya sana
yaani ndiyo ujinga mlionao mnshindwa kuwatoa kwa kura mnawashabikia majukwaani kura hampigi halafu mnaleta fujo mlaaniweCCM haitakiwi Pemba
Nasema tena CCM HAITAKIWI PEMBAyaani ndiyo ujinga mlionao mnshindwa kuwatoa kwa kura mnawashabikia majukwaani kura hampigi halafu mnaleta fujo mlaaniwe