Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

Wengi mna mihemko, mama Samia hakuzungumzia magazeti. Dr.abbas yupo sahihi, rudia tena kusikiliza alichosema mama samia

Mkuu mama Samia kasema vyombo vya habari ikiwemo na magazeti au wewe tunaposema vyombo vya habari unaelewa nini?[emoji23]
 
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

View attachment 1745371
Rais amesema hataki serikali yake kuonekana inakandamiza Uhuru wa habari. Kwa hiyo tafsiri sahihi ni vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa, vifunguliwe. Lakini sina shaka hilo litawekwa wazi haraka iwezekanavyo.

Tanzania Daima lilifungiwa kama mkakati wa kummaliza Mbowe na CHADEMA . Sioni Rais akiendeleza aina hiyo ya ujinga uliofilisika
 
Ngoja tuone.

PhD inaposhindwa kutafsiri maana ya vyombo vya habari.

PhD inasema gazeti siyo chombo cha habari.

PhD inambishia Rais ambaye ni taasisi.

PhD inachanganya itikadi na maswala ya kiserikali.

Ngoja tuone.

Ukinizingua Nakuzingua!
Huyu jamaa alibebwa sana na hayati Magufuli.

Ni heri ateuliwe Haji Manara kuwa Katibu mkuu wa hiyo wizara!
Mkuu kuna mtu ame hack account yako ya JF?
 
Rais amesema hataki serikali yake kuonekana inakandamiza Uhuru wa habari. Kwa hiyo tafsiri sahihi ni vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa, vifunguliwe. Lakini sina shaka hilo litawekwa wazi haraka iwezekanavyo.

Tanzania Daima lilifungiwa kama mkakati wa kummaliza Mbowe na CHADEMA . Sioni Rais akiendeleza aina hiyo ya ujinga uliofilisika
Tanzania Daima lilifutiwa leseni kabisa siyo kufungiwa tu
 
Huyu jamaa ana hasira sana juu ya haya maamuzi maana yeye ndio alikuwa kiranja katika kufungia vyombo vya habari, kukaidi kwake huku ni kama anapima kina cha maji, wacha tusubiri Rais atasemaje kwa kauli hii.

HUYU HATAENDANA NA KASI YA MAMA, NDIO WALE WALIOZOEA KUPANDISHA MABEGA SASA KUYASHUSHA WANAONA TAABU!!! MAMA HUYU ANAFAA KUZINGULIWA MAPEMA KWANI ANAONESHA NI MKAIDI. Hajishuhilishi hata kwenda kusikiliza clip ya speech ili kwenda kujiridhisha ya yale yaliyoagizwa.
 
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

View attachment 1745371
Kwanza hahusiki kufungulia telwvushenu za mitandaoni,hiyo ni kazi ya tcra,na hata magazeti yeye hahusiki,anayehusika nu gerson msigwa,mkurugwnzi wa maelezo
 
Ngoja tuone.

PhD inaposhindwa kutafsiri maana ya vyombo vya habari.

PhD inasema gazeti siyo chombo cha habari.

PhD inambishia Rais ambaye ni taasisi.

PhD inachanganya itikadi na maswala ya kiserikali.

Ngoja tuone.

Ukinizingua Nakuzingua!
Akili imeanza kukurudia rafiki
 
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

View attachment 1745371
Fukuza takataka hili. bado lina ndoto za Jiwe, limfute huko aliko limkumbatie likae huko huko. Jitu katili na si ajabu limeua wengi kama Sabaya. Hivi liatoka wapi hili katili
 
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

View attachment 1745371
Amini maneno yangu. Alichokifanya Hassan Abas ni insubordination ya Mamlaka ya juu to the highest level! How comes Katibu Mkuu anasema hadharani kuwa maelekezo ya kitu cha juu hayakukamilika wakati hata vyombo vya kimataifa vimeripoti juu ya maelekezo hayo Kwa ujumla.

Huyu bila shaka anaonekana anamdharau sana Mama Samia na pili hajapenda kuondolewa kwenye nafasi ya msemaji Mkuu wa Serikali. Dawa yake sasa ni moja tu, avuliwe vyeo vyote kwa kuwa hajatambua bado ukuu na mamlaka ya Mama Samia,

Pia anaonekana hajaelewa muelekeo wa Sera za mama Samia kuwa ni kutumia akili zaidi na sio nguvu.

Kwa kauli ya Mama Samia kuwa ukimzingua anakuzingua simuoni akifika jumatatu kama Katibu Mkuu.
 
Hivi ni kiburi cha kukataa au akili ndogo hajamuelewa Rais?

Kuna nafasi moja lazima ataiachia, zaidi hiyo ya msemaji wa serikali, labda majukumu mawili yamemlemea ndio sababu akili haichaji vizuri.
Kwa sasa yeye sio msemaji wa serikali,msemaji ni gerson msigwa
 
Back
Top Bottom