Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Jamaa anaona noma kula matapishi yake, amesema hivyo nadhani anaona bora atenguliwe tu asiwepo serikalini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi mna mihemko, mama Samia hakuzungumzia magazeti. Dr.abbas yupo sahihi, rudia tena kusikiliza alichosema mama samia
Rais amesema hataki serikali yake kuonekana inakandamiza Uhuru wa habari. Kwa hiyo tafsiri sahihi ni vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa, vifunguliwe. Lakini sina shaka hilo litawekwa wazi haraka iwezekanavyo.Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?
Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?
Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .
View attachment 1745371
Ngoja tuone.
PhD inaposhindwa kutafsiri maana ya vyombo vya habari.
PhD inasema gazeti siyo chombo cha habari.
PhD inambishia Rais ambaye ni taasisi.
PhD inachanganya itikadi na maswala ya kiserikali.
Ngoja tuone.
Ukinizingua Nakuzingua!
Mkuu kuna mtu ame hack account yako ya JF?Huyu jamaa alibebwa sana na hayati Magufuli.
Ni heri ateuliwe Haji Manara kuwa Katibu mkuu wa hiyo wizara!
Ni chairperson by default na kwa mamlaka aliyonayo kwa sasa hamna cha kumfanya nyie wachumia tumboWell yetu macho..ila ajue tu hadi dk hii yeye sio chairperson wa chama chetu pendwa, hakuna aliye mkuu kuliko chama chetu!
Chama chenu ndio kinataka vyombo vya habari vifungiwe?Well yetu macho..ila ajue tu hadi dk hii yeye sio chairperson wa chama chetu pendwa, hakuna aliye mkuu kuliko chama chetu!
Tanzania Daima lilifutiwa leseni kabisa siyo kufungiwa tuRais amesema hataki serikali yake kuonekana inakandamiza Uhuru wa habari. Kwa hiyo tafsiri sahihi ni vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa, vifunguliwe. Lakini sina shaka hilo litawekwa wazi haraka iwezekanavyo.
Tanzania Daima lilifungiwa kama mkakati wa kummaliza Mbowe na CHADEMA . Sioni Rais akiendeleza aina hiyo ya ujinga uliofilisika
Huyu jamaa ana hasira sana juu ya haya maamuzi maana yeye ndio alikuwa kiranja katika kufungia vyombo vya habari, kukaidi kwake huku ni kama anapima kina cha maji, wacha tusubiri Rais atasemaje kwa kauli hii.
Kwanza hahusiki kufungulia telwvushenu za mitandaoni,hiyo ni kazi ya tcra,na hata magazeti yeye hahusiki,anayehusika nu gerson msigwa,mkurugwnzi wa maelezoHakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?
Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?
Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .
View attachment 1745371
Akili imeanza kukurudia rafikiNgoja tuone.
PhD inaposhindwa kutafsiri maana ya vyombo vya habari.
PhD inasema gazeti siyo chombo cha habari.
PhD inambishia Rais ambaye ni taasisi.
PhD inachanganya itikadi na maswala ya kiserikali.
Ngoja tuone.
Ukinizingua Nakuzingua!
Fukuza takataka hili. bado lina ndoto za Jiwe, limfute huko aliko limkumbatie likae huko huko. Jitu katili na si ajabu limeua wengi kama Sabaya. Hivi liatoka wapi hili katiliHakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?
Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?
Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .
View attachment 1745371
Mkuu Manara hapana kwakweli [emoji28][emoji28][emoji28]Huyu jamaa alibebwa sana na hayati Magufuli.
Ni heri ateuliwe Haji Manara kuwa Katibu mkuu wa hiyo wizara!
Amini maneno yangu. Alichokifanya Hassan Abas ni insubordination ya Mamlaka ya juu to the highest level! How comes Katibu Mkuu anasema hadharani kuwa maelekezo ya kitu cha juu hayakukamilika wakati hata vyombo vya kimataifa vimeripoti juu ya maelekezo hayo Kwa ujumla.Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?
Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?
Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .
View attachment 1745371
Kwa sasa yeye sio msemaji wa serikali,msemaji ni gerson msigwaHivi ni kiburi cha kukataa au akili ndogo hajamuelewa Rais?
Kuna nafasi moja lazima ataiachia, zaidi hiyo ya msemaji wa serikali, labda majukumu mawili yamemlemea ndio sababu akili haichaji vizuri.
Waonye maana bavicha wamepora kazi ya MATAGAView attachment 1745379