Al Qaisa haijawahi kuwa sehemu ya waislam originally.Halafu waache Al AQSA pale au wahame nao?
Ile ni sehemu ya hekalu la wayahudi lililojengwa na Suleiman.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al Qaisa haijawahi kuwa sehemu ya waislam originally.Halafu waache Al AQSA pale au wahame nao?
Technically Ili uishe ni Wazungu walioletwa na Marekani hapo hao wanaojiita Wayahudi warudi walikokuwa wanaishi kabla,hiyo ni Ardhi ya Wapalestina na waliwakuta Wapalestina hapo.Basi huo mzozo hautaisha...
Mchina anaweza uhamisha kama ulivyo.Halafu waache Al AQSA pale au wahame nao?
Kwa vile?Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Al Aqsa ni msikiti wa Waislam kwa muda mpaka sasaAl Qaisa haijawahi kuwa sehemu ya waislam originally.
Ile ni sehemu ya hekalu la wayahudi lililojengwa na Suleiman.
Mkuu mifano yako hai-relate kabisa na hili balaa la huu mgogoro.Oooh so hata Nyerere angemuachia Idd Amin ajisevie tu Kagera kisa alikua na silaha za Gadaffi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu waache Al AQSA pale au wahame nao?
na nchi za kiarab ndo ziliwaponza kwa kuwapa kichwa kuwa wasiunde taifa moja na israelNalo hili linawezekana. Ni waislamu wenzao, kuwapokea wenzao waislamu very much possible kuliko haya mateso wanayoyapata. Kwani wako wangapi? nchi za kiarabu ziko ngapi? Unawagawanya katika waislamu wenzao.... and the deal is done!
na historia ya ottoman inadanganya ilipoonesha wayaudi walikwepo ndan ya ottoman yaan maeneo ya mashariki ya kati ambayo leo ndo israel***** ile ni Ardhi Yao na Kuna urithi wao.Hao Washenzi waliotokea Ulaya Wayahudi ndio wahame au warudi walikotoka.
unashambulia ukijibiwa unasema unaonewa , hv huyo mungu wenu ndo anawafundisha ujinga huu , kama mnataka amani kwann mfanye fujo kwa wengine?Solution ni Wayahudi wapewe Uganda kama ulivyokuwa mpango wa Zamani. Au Si vibaya Waisrael wakapewa wilaya ya Ngorongoro ili waache fujo zao za kuuaua watu huko Palestine.
nan kaelemewa ?Why not Jews?
kama mnatak jews waondoke bas hatutak kusikia pray for palestinaWhy not Jews?
Hapo ndipo kilipo kitendawiliHalafu waache Al AQSA pale au wahame nao?
Na Hitler alisema hivyo hivyo ndio maana akawapunguza naoHao kama nyuki hawanaga ujirani mwema
#FreeGaza
si waliona silaha ndo solution wapigane wapewe sehem yaoKwanini wahame, kwanini wasiachiwe sehemu ya Ardhi yao.
hiyo ngumu best way ni kuhakikisha wanaishi pamoja tu waoleane humo humo waanzishe daji za utani wairael watani wao wawe Palestine.
Hakuna namna mtu yyte atafanya eti mmoja wao aondoke hicho hakiwezekani ila kuishi pamoja inawezekana kama wakiamu.