Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Basi huo mzozo hautaisha...
Technically Ili uishe ni Wazungu walioletwa na Marekani hapo hao wanaojiita Wayahudi warudi walikokuwa wanaishi kabla,hiyo ni Ardhi ya Wapalestina na waliwakuta Wapalestina hapo.

Hakuna Sukuhu tofauti na hiyo maana hata kama watasema wagawane hiyo Ardhi ,Wayahudi hawawaamini Wapalestina lakini.pia Hamasa wanasema Hatuwezi gawana Ardhi yetu.

So tuache mambo ya stori za dini Ili Wayahudi warudi Ulaya walikokuwa wanaishi kabla ya ya mwaka 1948.
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Kwa vile?
 
Nalo hili linawezekana. Ni waislamu wenzao, kuwapokea wenzao waislamu very much possible kuliko haya mateso wanayoyapata. Kwani wako wangapi? nchi za kiarabu ziko ngapi? Unawagawanya katika waislamu wenzao.... and the deal is done!
na nchi za kiarab ndo ziliwaponza kwa kuwapa kichwa kuwa wasiunde taifa moja na israel
 
***** ile ni Ardhi Yao na Kuna urithi wao.Hao Washenzi waliotokea Ulaya Wayahudi ndio wahame au warudi walikotoka.
na historia ya ottoman inadanganya ilipoonesha wayaudi walikwepo ndan ya ottoman yaan maeneo ya mashariki ya kati ambayo leo ndo israel
 
Solution ni Wayahudi wapewe Uganda kama ulivyokuwa mpango wa Zamani. Au Si vibaya Waisrael wakapewa wilaya ya Ngorongoro ili waache fujo zao za kuuaua watu huko Palestine.
unashambulia ukijibiwa unasema unaonewa , hv huyo mungu wenu ndo anawafundisha ujinga huu , kama mnataka amani kwann mfanye fujo kwa wengine?
 
Aisee umeongea point nzuri sana.
hiyo ngumu best way ni kuhakikisha wanaishi pamoja tu waoleane humo humo waanzishe daji za utani wairael watani wao wawe Palestine.

Hakuna namna mtu yyte atafanya eti mmoja wao aondoke hicho hakiwezekani ila kuishi pamoja inawezekana kama wakiamu.
 
Back
Top Bottom